Naomba ushauri wa dawa ya matangotango/mbaa

Naomba ushauri wa dawa ya matangotango/mbaa

John kirua

Senior Member
Joined
Dec 7, 2021
Posts
140
Reaction score
107
Habari ndg zangu naomba ushauri wa dawa ya matangotango/mbaa maana zimejaa mwili mzima hadi zinawasha hatari...
 
Habari ndg zangu naomba ushauri wa dawa ya matangotango/mbaa maana zimejaa mwili mzima hadi zinawasha hatari...

Pole sana.

Ni muhimu sana ukafika kwa daktari akukague vizuri ili upatiwe matibabu sahihi.

Kila la kheri.
 
Nenda duka la dawa, wambie wakupe dawa ya mba ya kupaka na ya kunywa ni dozi ya siku 30 kama sikosei kidonge kimoja wanauza 500.Zipo za kupaka nyingi ila kuna moja ina rangi ya kijani maji yake ipo kwenye kikopo mimi hiyo ndiyo naipendaga sa hapo utangalia wewe, wiki tu utaanza kuona matokeo.
 
Tafuta kiberiti upele (Ya unga) mix na mafuta yako ya kupaka, pakaa mwili mzima utapona fasta.

Ukipona, uache uchafu. Hiyo miwasho chanzo chake uchafu.
 
Back
Top Bottom