John kirua
Senior Member
- Dec 7, 2021
- 140
- 107
Pole sana ndugu tafuta arovelaHabari ndg zangu naomba ushauri wa dawa ya matangotango/mbaa maana zimejaa mwili mzima hadi zinawasha hatari...
Asanteee matumizi yake yapo vip?Pole sana ndugu tafuta arovela
Asantee sanaaMafuta ya breki ndo dawa kanunue ni buku tu
Hayo ni mafuta ya breki na sio ya mbaMafuta ya breki ndo dawa kanunue ni buku tu
Habari ndg zangu naomba ushauri wa dawa ya matangotango/mbaa maana zimejaa mwili mzima hadi zinawasha hatari...
CHukua ulovera ya maji mqji yqke pakaa sehemu yenye tatzoAsanteee matumizi yake yapo vip?