Naomba Ushauri wa gari zuri la Kutembelea

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,286
Reaction score
6,736
Wakuu nimeombwa ushauri wa gari zuri la kutembelea, Bajeti yake isizidi Mil.35. yaani Iwe 35M kuja chini. Binafsi si mtaalam, Anayehitaji ni Mkulima binafsi niliwaza angepata Double Cabin Toyota au Nissan lakini kwa nilizoziangalia nimekuta bei ikiwa Juu ya Bajeti, karibuni kwa ushauri ili nami nipate Kumshauri Kulingana na maoni yenu.
 
IST 1490 cc
 
Nissan spea itamkaanga Kama anaweza apate Toyota double cabin 3L engine Ile ni roho ya paka na inafaa kwa shambani full 4WD.

Mbele inabeba abiria 5 na mnafunga kioo Safi mnakula AC mkiwa kwenye vumbi mnaelekea shambani wakati nyuma mmeweka mizigo inabeba almost tani moja Ile kitu no roho ya paka.

Kwa bei hiyo Kama hataki double cabin basi nunua hardtop lakini itakuwa used na mostly atapata engine ya hovyo na kama pick-up atapata single cabin na imechoka ya hapahapa bongo wakati pick-up unapata second hand directly from Japan Tena Ile mayai .
 

Lakini kwa hiyo fedha aliyonayo, bado anapata hiyo double cabin used pamoja na kodi yake
 
Chukua Kluger ina himili shuruba na CC zake ni kawaida.Wenye kluger tunapack wanapopaki wenye ma prado na ma V8 na hata kwenye msafari wa harusi tupo mbele mbele karibia na gari la maharusi.
 
Chukua Kluger ina himili shuruba na CC zake ni kawaida.Wenye kluger tunapack wanapopaki wenye ma prado na ma V8 na hata kwenye msafari wa harusi tupo mbele mbele karibia na gari la maharusi.
Chukua huu ushauri asap...Hasa ile engine ya 3.0L, mwaka 2005 nakuendelea.
 
Vp kuhusu klugger wadau maana niliipenda sababu ni gari ya juu kidogo au kama kuna gari mnishauri maana napenda gari ya juu sababu ya maeneo ninayoishi ni rough road
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…