GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,286
- 6,736
Wakuu nimeombwa ushauri wa gari zuri la kutembelea, Bajeti yake isizidi Mil.35. yaani Iwe 35M kuja chini. Binafsi si mtaalam, Anayehitaji ni Mkulima binafsi niliwaza angepata Double Cabin Toyota au Nissan lakini kwa nilizoziangalia nimekuta bei ikiwa Juu ya Bajeti, karibuni kwa ushauri ili nami nipate Kumshauri Kulingana na maoni yenu.