Naomba ushauri wa hali ya juu!

Joined
Dec 2, 2012
Posts
67
Reaction score
21
Rafik habar zenu.mm nna tatizo moja ambalo linaniumiza kichwa,jambo ambalo niliuliza kwenye facebook hawakunipa jawab sahihi.

Jamn mm nna mdogo wang wa kiume ambae tulizaliwa tumbo moja na mama,lakini kwann yule mdogo wangu ni mwenye kunenepa lakini mm si nenepi?

Yeye anakula nini na mm nakula nn? Jaman naomba mnisaidie ili nijue kama kuna dawa au kuna mlo maalum unakula au jambo lolote lile ambalo nikifanya nitapata mwili kidogo,kwan najiona ovyo kwamba mdogo wang utadhan yy ndie kaka na mm utasema ndugu ngwa...

Kwa yeyote yule ambae atanijibu naomba anijibu kupitia maitandao hii:- saidyahya.abdalla@yahoo.com.
Au
saidyahyasultan@gmail.com au nitafute kwenye facebook .ID:-
-Hamiyar bin zayd.
Hii kwa sababu mm sijui kutumia jf,nahofia kwamba sito ona tena comment kwa hiyo majibu sito yaona....
Ahsanteni....
 
Kwa nini ueleze tatizo hapa, then "utafutwe" kupitia hiyo facebook?
Ulipiuliza facebook, "hukupewa jibu sahihi"...lengo la kuuliza ni nini iwapo unajua jibu sahihi!
"Yeye anakula nini na wewe unakula nini"..wewe ndiyo mwenye kumfahamu mdogo wako na ulaji wake, pia wa kwako pia..iweje mtu 'abashiri' unatumia nini na mdogo wako anatumia nini?
 
Unajua yy anakula km nnavyokula mm hakuna tofauti kati ya ulaji na mambo mengine.
Na nilisema nijibiwe kwenye mitandao kwa sababu jf haina alama ya kukujulisha kwamba ujumbe umetumwa labda uingie na uone tayar mtu amekoment lakin iliyobaki napewa alert kwa ujumbe umejibiwa sawa boss??
 
Unene unakuja na kadhia nyingi kuliko faida ya muonekano. Ushauri wangu ni ujiandikishe gym. Fanya mazoezi na ule balanced meals. Jikubali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…