Naomba ushauri wa kibiashara nafilisika

Naomba ushauri wa kibiashara nafilisika

Machiner na mota vyipo maitaji GODAUNI na malighafi tutaanzia ml 7
Hapo kama bado set up haijafanyika Na Installations nahisi itazidi hiyo but I think ni Idea nzuri sana tu I wish ningejoin lakin Capital yangu ndogo
 
Nitanunua plastic chakavu kwenye vijiwe na kusaga kutoa vipande vipande na kuuza kwenye masoko ya hapa hapa au Kenya maana kote nilishafika kulinganisha bei kwa hiyo nilichokosa pesa ya godauni na malighafi lakini nina uzoefu wa biashara ya takarejea. Hata kwa dhamana nitaweka eneo langu ilimradi uaminifu tu maana napoteza muda wa biashara au mnanishauri nini?
weka eneo lako dhamana then chukua mkopo benki!! pia unaweza kuuza eneo ukawekeza pesa yote kwenye kazi
NB: Lazima uwe makini maana haya mabenki ni pasua kiwa kweli!!
 
weka eneo lako dhamana then chukua mkopo benki!! pia unaweza kuuza eneo ukawekeza pesa yote kwenye kazi
NB: Lazima uwe makini maana haya mabenki ni pasua kiwa kweli!!
Dhamana ninayo mabenki wanaitaji niwe na eneo la biashara nami sina pesa ya godauni na malighafi hill ndio tatizo na silinginelo .swala la kuuza nyumba ningepata Mteja ningeuza maana sina namna nyingine
 
Umesema matajiri mkuu hapa hatumshauri tajiri tunamshauri mjasiriamali mdogo kabisa ambae anaenda kufilisika muda si mrefu.
Hiyo nyumba amejenga kwa biashara unadhani biashara ikifa ataimalizia. Ila biashara ikikua anaweza fanya chochote hata kwenda kujenga dubai. Ni mtazamo tuu
ni sawa . lakini kwa kuuza nyumba kwa huyu mjasiriamali ndiyo tutamtumbikiza kwenye lindi la umasikini , kwakua biashara za afrika zina mazingira magumu sana ya kukufanya ufanikiwe mkuu , mimi nasema aanze kidogo kidogo , ajifunze kuweka akiba , na hata kukata bima ya biashara.
 
Back
Top Bottom