Naomba ushauri wa kibiashara nafilisika

Machiner na mota vyipo maitaji GODAUNI na malighafi tutaanzia ml 7
Hapo kama bado set up haijafanyika Na Installations nahisi itazidi hiyo but I think ni Idea nzuri sana tu I wish ningejoin lakin Capital yangu ndogo
 
weka eneo lako dhamana then chukua mkopo benki!! pia unaweza kuuza eneo ukawekeza pesa yote kwenye kazi
NB: Lazima uwe makini maana haya mabenki ni pasua kiwa kweli!!
 
weka eneo lako dhamana then chukua mkopo benki!! pia unaweza kuuza eneo ukawekeza pesa yote kwenye kazi
NB: Lazima uwe makini maana haya mabenki ni pasua kiwa kweli!!
Dhamana ninayo mabenki wanaitaji niwe na eneo la biashara nami sina pesa ya godauni na malighafi hill ndio tatizo na silinginelo .swala la kuuza nyumba ningepata Mteja ningeuza maana sina namna nyingine
 
ni sawa . lakini kwa kuuza nyumba kwa huyu mjasiriamali ndiyo tutamtumbikiza kwenye lindi la umasikini , kwakua biashara za afrika zina mazingira magumu sana ya kukufanya ufanikiwe mkuu , mimi nasema aanze kidogo kidogo , ajifunze kuweka akiba , na hata kukata bima ya biashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…