Fungo N.
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 252
- 43
Nimehitimu na degree ya sanaa na elimu BAED matarajio yangu ni kama ifuatavyo:nitafundisha miaka 4 tu katika gvt schools baada ya hapo nataka nafanye post graduate diploma ya public administration au humam resource management au community development baadaye masters.Kikubwa naomba ushauri wa hizi kozi na ningependa kujua gharama zake kwa anayejua.Naomba kuwasilisha