Naomba ushauri wa kielimu ndugu zangu

Naomba ushauri wa kielimu ndugu zangu

Fungo N.

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
252
Reaction score
43
Nimehitimu na degree ya sanaa na elimu BAED matarajio yangu ni kama ifuatavyo:nitafundisha miaka 4 tu katika gvt schools baada ya hapo nataka nafanye post graduate diploma ya public administration au humam resource management au community development baadaye masters.Kikubwa naomba ushauri wa hizi kozi na ningependa kujua gharama zake kwa anayejua.Naomba kuwasilisha
 
Nadhani ukiambiwa leo kila kitu huwezi kujua nini baada ya muda fulani!! ushauri wangui ni kuwa ingia kwa soko la ajira kwanza then ndani ya miaka 4 utapata jibu lako la kitu utakacho kukifanya maana tayari utakuwa umejiandaa vya kutosha !! probably ukapata na option nzuri zaidi ya hiyo ulionayo sasa!!! japo si vibaya kujua!!!

All the best katika soko la ajira mkuu!!!!!!!!
 
naamini gharama za kozi yako ulizipata chuo ulichosoma...waonaje kama ukitafuta online vyuo vinavyotoa kozi hizo utakazo then ukafanya mawasiliano na vyuo husika kujua gharama zake.
 
Mimi nakushauri ufanye kozi ya Community Development ndugu! Thanks
 
Kama tatizo ni ghalama jaribu ujinga.

Back
Top Bottom