Naomba ushauri wa kijiji cha kufanya biashara ya business center kutumia solar PV

Naomba ushauri wa kijiji cha kufanya biashara ya business center kutumia solar PV

HPAUL

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2011
Posts
410
Reaction score
567
Naomba Ushauri wa eneo la biashara, nina vifaa vya solar PV ambavyo vinaweza kuanzisha biashara ya business center Itakayojihusisha na kuchaji simu, kinyozi, kuchapa barua, kuburn CD, TV/Video show na evening study room kwa wanafunzi wa primary/secondary.

Naomba mwana Jamii Forum yeyote anayefahamu kijiji chochote ambacho nitaweza kuanzisha biashara hii kilichopo katika mkoa wa Pwani/Dar es Salaam. Vigezo vya uchaguzi wa kijiji ni kama vifuatavyo:


  1. Kiwe katika eneo ambalo umeme wa taifa - TANESCO (National Grid) haujafika na hautarajiwi kufika kwa miaka miwili ijayo.
  2. Eneo lenye wakazi wengi na lipo vizuri kiuchumi
  3. Barabara japo si ya lami lakini inapitika vizuri hata kwa gari ndogo (Saloon)

Umbali sio tija lakini liwe mkoa wa Pwani au Dar es Salaam.
 
Back
Top Bottom