Naomba ushauri wa kimasomo

Naomba ushauri wa kimasomo

0767854945

Member
Joined
Jul 5, 2013
Posts
74
Reaction score
2
Jamani ndugu zangu naomba mnisaidie nina d ya bios,c ya ph na b ya chem pia nina b ya math,na d ya eng nimeomba kusoma diploma ya clinical officer naweza kuchaguliwa ndugu zangu au niende tu private?
 
Soma Engineering courses. Jipange uje usome water, petrol au gas engineering
 
Back
Top Bottom