Ndiyo hivyo, ambao tunajaribu kulima tunataabika sana kupata extension services.
I will tell you, kama ndiyo upo kwenye sector kama za horticulture ndiyo kabisa...thanks to Google and the internet walau unaweza kupata mawili matatu kule na thru wasap groups...wataalamu wa SUA biashara yao kubwa ni bar na gesti, hilo unaweza kujifunza kwao...wanaofanya kilimo huishia kuotesha miche na kuwauzia watanganyika wakahangaike nayo....
Bongo kwenye kilimo ni bure kabisa...huwezi kuamini mpaka uingie uyaone...unapata changamoto na huna wa kukusaidia, no wonder yields za African farmers are extremely low...
Sent from my SM-A505F using
JamiiForums mobile app