Naomba Ushauri wa Kina Kuhusu Kilimo cha Maembe na Minazi

Inategemea na aina ya mbegu...

Kwa uzoefu wangu wa kitaa-mbegu ni aina mbili maarufu hapa Tz:
1.kitamli...minazi midogo hivi...miaka kama 3 hadi 5 inazaa

2.kienyeji....minazi mirefu....miaka 5 hadi 7 inazaa

..unafahamu wazalishaji wowote wa kuaminika wa miche ya minazi mbegu ya kitamli?
 
Ndiyo hivyo, ambao tunajaribu kulima tunataabika sana kupata extension services.

I will tell you, kama ndiyo upo kwenye sector kama za horticulture ndiyo kabisa...thanks to Google and the internet walau unaweza kupata mawili matatu kule na thru wasap groups...wataalamu wa SUA biashara yao kubwa ni bar na gesti, hilo unaweza kujifunza kwao...wanaofanya kilimo huishia kuotesha miche na kuwauzia watanganyika wakahangaike nayo....

Bongo kwenye kilimo ni bure kabisa...huwezi kuamini mpaka uingie uyaone...unapata changamoto na huna wa kukusaidia, no wonder yields za African farmers are extremely low...

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Nitamtafuta Mzee Nani Yule uliye mtaja anipe maelezo mkuu
 
Mkuu ni miaka minne sasa imepita. Kuna mrejesho gani?
 
Asante mkuu
Asante mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…