Achapombe cha pombe
Member
- Feb 11, 2023
- 96
- 182
Mirathi achana nayo kabisa.Yaani mmefikia hatua hamuaminiani kiasi hiki?
Mmeshaenda mahakamani kila kitu kipo kisheria kwanini bado mnaogopa? Wekeni sahihi mchukue hela nyie watu.
Hata ingekluwa mimi nisingewapa hela hadi msaini. Nyumba za urithi ki kasheshe sana, unanunua leo kesho unaitwa mahakamani ndugu wengine wamefungua kesi. Ikiwa nyinyi mmeshakubaliana sioni kwanini hamuiamini mpaka mahakama. Uzuri mmefuata hatua zote. Mkisaini na asipoweka hela si mnarudi mahakamani kumshtaki?
Mnaweza mka saini huo mkataba mkauacha mahakamani/hakimu kisha mkaongozana na mnunuzi hadi benki kuhakikisha amelipa. Baada ya kulipa kwa wote ndio anakabidhiwa mkataba.
Msimamizi wa mirathi hajui afanyalo.Msimamizi wa mirathi ndie anaepaswa kuuza nyumba hiyo
Kuna nyumba ya urithi,wanafamilia wahusika wote tumekubaliana kuiuza,na tumeandika muhtasari wa kikao cha kuuza,kiasi cha pesa na mgawanyo wake wote,tumeukabidhi mahakamani.
Jambo linalotutatiza ni jinsi ya kulipana,
Mnunuzi anasema tusaini makubaliano ya kuuziana ndipo aweke pesa kwenye bank account zetu.
Lakini baadhi yetu wanasema kusaini ni mpka pesa iingie kwenye account zao
Mauziano yanafanyika mbele ya wakili wa mahakama kuu,
Biashara inataka kushindikana kutokana na huu mvutano.
Pia hakimu mwenye faili letu alisema faili halifungwi mpaka tutakapopeleka ushahidi wa malipo halali kwenye account zetu ndio atalifunga
Naomba ushauri je Kipi kianze ili kunusuru huu mkwamo?
(muktasari wa kikao ndio ridhaa yenu kisheria)
Mimi sio mwanasheria ila nimesimamia mirathiKikao ndio ridhaa ya kisheria ?
Kwa hiyo ukihudhuria kikao ukazimwa by tyranny of the majority huwezi kuja pinga maamuzi ya kikao ?
Kuna sababu kwa nn neno kikao hulikuti kwenye sheria.
Hebu taja sheria yeyote ile ya inayotamka maneno "muhtasari wa kikao cha familia / wanandugu / ukoo / warithi )" kwenye shauri la mirathi.
Ndivyyo tulivyokubaliana kila mmoja apokelee pesa kwenye account yake,kadhalika msimamizi hilo kakubaliana nalo na mnunuzi pia kakubali kufanya hivyo
Ila hakikisha kwanza huo mvutano; wa kipi kitangulie Pesa au Saini; wakili wenu anatambua kwanza ndipo muendelee baada ya kushauriana naye na kufikia muafaka wa kusaini kwanza then malipo ndio yafuate. Hapo wote mko salama.Issue hapa tukisaini ndipo aweke pesa iko sawa?
Shukrani kwa ushauri wakoYaani mmefikia hatua hamuaminiani kiasi hiki?
Mmeshaenda mahakamani kila kitu kipo kisheria kwanini bado mnaogopa? Wekeni sahihi mchukue hela nyie watu.
Hata ingekuwa mimi nisingewapa hela hadi msaini. Nyumba za urithi ni kasheshe sana, unanunua leo kesho unaitwa mahakamani ndugu wengine wamefungua kesi. Ikiwa nyinyi mmeshakubaliana sioni kwanini hamuiamini mpaka mahakama. Uzuri mmefuata hatua zote. Mkisaini na asipoweka hela si mnarudi mahakamani kumshtaki?