Naomba ushauri wa kisheria katika maisha haya ya ndoa

Maisha yako umeyachanganya kama unga wa ngano, hamira na sukari.
 
Una mashamba tu unaomba ushauri wa urithi
Je ungekua na mali kama Bakhresa au hayati Mengi[emoji3]
 
Nakushauri, andaa walau Tshs 100,000, waone Wanasheria! Ukishindwa, basi upo hapa kututania!
 
Mkuu wemeisha kuseti wew sio bure 45 yrs unawaza kugawa urithi muda sio mrefu unaondoka maana ata wa kujinyonga wanaanzaga kutishia na mwishowe inakua kweli.
 
Andika wosia kuepusha migongano siku mti ukianguka.
 
Mimi ni mkristo lakini nikiisoma Biblia hua naielewa vizuri kwamba mwanaume kua na wake wengi siyo dhambi, au kuna mtu anaekijua kifungu cha kwenye Biblia kilichoandikwa kuoa wake zaidi ya mmoja ni dhambi akilete hapa watu tujifunze.
Kwa kuongezea tunaweza kataa ukweli lakini hatuwezi epuka matokeo yatokanayo na ukweli! Mwanaume aliyekamili ni wachache wenye kutosheka na mmoja
 
45 years man with 10 children! Ongeza mmoja utimize timu ya mpira!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…