Mnamo mwaka jana nilichukua mkopo benki nikamtumia wife anunue kiwanja mkoa ambao tulikubaliana tutaweka makazi ya kudumu. Sisi sote ni wafanyakazi ila tulikua mikoa tofauti kikazi.
Nilijibana wakati nakatwa mkopo mpaka nlipohamia mkoa aliopo yeye ambapo ndipo tuliponunua kiwanja. Mkopo huo haukutosha kukomboa kiwanja kwa hiyo bado tulibaki na deni ambalo nilipohamia mkoa aliopo niliendelea kuupunguza kidogokidogo mpaka lilipomalizika. Kabla hatujaandikiwa hati nliligundua wife ana mkopo benki nikamuuliza kulikoni hatushirikishani? akanijibu majibu ya maudhi matupu.
Wakati bado natafakari la kufanya akaleta ile hati imeandikwa jina langu na lake nilikasirika sana lakini sijamuuliza chochote mpaka sasa.
Wakuu natafakari kumburuza wife mahakamani aamrishwe na mahakama kufuta jina lake kwenye ile hati sababu inaninyima haki ya kufanya maamuzi n kiwanja kile ambacho nilikilipia 100% peke yangu bila yeye kuweka hata sumni( nasikia kwenye mali za wanandoa zile ambazo zinaandikwa jina la mmiliki zina treatment tofauti kisheria na zile zilizoandikwa majina yao wote).
Swali hapa ni kwa nini anaficha mali aliyonunua na fedha ile? ni kwa manufaa ya nani? au sininaweza kumfungulia kesi ya wizi wa kuaminiwa/ utapeli? au naweza kumfungulia kesi gani ambayo hata itaniwezesha kupata haki yangu? ananiprovoke mara kwa mara sana ila najizuia sana kumchapa sababu naona anatafuta sababu
Muda mwingine natamani kuondoka tu na kuamuachia kila kitu sababu tumezaa mtoto lakini naona naidhulumu nafsi yangu sana.
Naomba msaada wenu naweza kupata haki vipi katika hili? au niachane naye nichape mwendo nikatafute maisha mbele?
Ahsanteni.