Naomba ushauri wa kisheria wandugu

Naomba ushauri wa kisheria wandugu

AAS

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
330
Reaction score
35
Mnamo mwaka jana nilichukua mkopo benki nikamtumia wife anunue kiwanja mkoa ambao tulikubaliana tutaweka makazi ya kudumu. Sisi sote ni wafanyakazi ila tulikua mikoa tofauti kikazi.

Nilijibana wakati nakatwa mkopo mpaka nlipohamia mkoa aliopo yeye ambapo ndipo tuliponunua kiwanja. Mkopo huo haukutosha kukomboa kiwanja kwa hiyo bado tulibaki na deni ambalo nilipohamia mkoa aliopo niliendelea kuupunguza kidogokidogo mpaka lilipomalizika. Kabla hatujaandikiwa hati nliligundua wife ana mkopo benki nikamuuliza kulikoni hatushirikishani? akanijibu majibu ya maudhi matupu.

Wakati bado natafakari la kufanya akaleta ile hati imeandikwa jina langu na lake nilikasirika sana lakini sijamuuliza chochote mpaka sasa.

Wakuu natafakari kumburuza wife mahakamani aamrishwe na mahakama kufuta jina lake kwenye ile hati sababu inaninyima haki ya kufanya maamuzi n kiwanja kile ambacho nilikilipia 100% peke yangu bila yeye kuweka hata sumni( nasikia kwenye mali za wanandoa zile ambazo zinaandikwa jina la mmiliki zina treatment tofauti kisheria na zile zilizoandikwa majina yao wote).

Swali hapa ni kwa nini anaficha mali aliyonunua na fedha ile? ni kwa manufaa ya nani? au sininaweza kumfungulia kesi ya wizi wa kuaminiwa/ utapeli? au naweza kumfungulia kesi gani ambayo hata itaniwezesha kupata haki yangu? ananiprovoke mara kwa mara sana ila najizuia sana kumchapa sababu naona anatafuta sababu

Muda mwingine natamani kuondoka tu na kuamuachia kila kitu sababu tumezaa mtoto lakini naona naidhulumu nafsi yangu sana.

Naomba msaada wenu naweza kupata haki vipi katika hili? au niachane naye nichape mwendo nikatafute maisha mbele?

Ahsanteni.
 
Me nadhan hili jambo ungelifikisha ktka ngaZ ya family ikishindkana ndo uende mahakaman as longer una evidence zote kuwa uligharamia hicho kiwanja kwa asilimia mia... Sion sababu uumizw kichwa kwa hlo jambo dogo.. Moreover unapaswa kuishi ma mwanamke kwa akili ya jicho la tatu
 
Pole ndugu yangu. Ila shida uliyonayo ni ya kifamilia sio kisheria. Kwa uelewa wangu mdogo iyo hati ni halali na wala haina kasoro. Na sheria inatamka wazi kuwa mali mliyochuma mkiwa pamoja ni mali yenu wote , ivo mkeo kafanya kosa ambalo halina adhabu. Hata ungeandka jina lako peke yako bado ni mali ya wawili. Na shukuru jina lako lipo ivo haki yako iko pale pale.
Pia mkikopea iyo doc lazma benki itataka spouse asaini .

Nakushauri either umuombe mkiuze mgawane, au ufanye uhuni mkopee pesa nyingi , surrender hati then ushindwe kuseevice mkopo kwa makisudi ili taasisi ya fedha ikiuze wakati ulishabeba hela yako in advance.
Vinginevo nakuona ukikwama.
Nb ...kwa swala ili kupata haki mahakamani sijui.
Hajakutapeli coz Kiwanja kipo, hajasema huna haki. Sijajua mahakama itakupa haki ipi wakati haki unayo. Wataalam anyway watakuja tu
 
ahsante kwa kuona km kafanya kosa hii ishu nikiipeleka kifamilia sjui km nitapa haki sababu huyu mtu ni mwongo balaa akifika kwenye vikao anaongopa halafu km vile unafiki mwingi hakuna mtu wa kumkomalia kumuambia ukweli nabaki mwenyewe hivyo hajifunzi. hapa nikishindwa kisheria nachapa lapa tu hiyo ardhi ajenge aishi na mwanangu
 
Me nadhan hili jambo ungelifikisha ktka ngaZ ya family ikishindkana ndo uende mahakaman as longer una evidence zote kuwa uligharamia hicho kiwanja kwa asilimia mia... Sion sababu uumizw kichwa kwa hlo jambo dogo.. Moreover unapaswa kuishi ma mwanamke kwa akili ya jicho la tatu
ahsante.
ndugu acha tu huyu mwanamke tulikua mbali akawa ananituhumu kua hakuna kitu nafanya kuhusu familia ndio nikaamua nibebe loan aone nia niliyonayo kujenga familia imara he nashangaa mauza uza yanaanza
kwenye familia sidhani km nitapata haki sababu ni mwongo halafu vikao sio level ground unafiki mwingi kabisa kwa hiyo unaingia kwenye kikao mnatoka n general conclusion za ohhh vumilianeni hakuna mtu anafunguka kwamba hapa fulani umekosea. ananifanyia mambo ya maudhi ukienda kwenye vikao hamna jipya
 
Kaka umekasirika vibaya sana. Pole.

Kama mazingira yanaruhusu, mwambie kuwa unataka jina libaki moja kwenye hiyo hati kwa hiyo ajiandae muende wote kubadilisha jina. Kama unaona ni vigumu kufanya hivyo acha tu hiyo haina madhara unless unataka uwe na uhuru wa ku-mortgage property yako itakapokamilika. Japo kuna uwezekano wa kuulizwa consent ya spouse kwenye mortgage sometimes!

Otherwise tulia tu hakuna tatizo sana
 
ok ahsante nimekasirika sababu mimi nilichukua loan nikamtumia anunue ardhi yeye anachukua kwa siri kwa nini? alichofanyia hasemi lengo ninini hapa? sikwamba nataka kumpangia na pesa yake hapana ni information tu km kweli kuna future hata information inagomba?
mpaka kaandika majina yote maana yake hatakubali kubadili. shida yake anataka kunishusha esteem ili anikalie niwe wale wa ndioo wakati mm hamna kitu kama hiyo
 
Hati hiyo umepewa na nani? Hati halisi anayo nani? Jina la kwenye hati hubadilishwa kisheria nje ya mahakama. Mahakama haiwezi kuamuru jina lifutwe kwenye hati.
 
hati imetoka kata.hati halisi ipo hapa ndani ila bado sijaisaini
 
Sheria zinambeba sana mwanamke. Kama umezaa nae mtoto wewe usideal nae kwa sana . Ukienda mahakamani utapoteza muda. Anza kufanya mambo yako bila kumshirikisha kwa future yako na mwanao. Wanawake umiza kichwa noma.
 
ahsante.
ndugu acha tu huyu mwanamke tulikua mbali akawa ananituhumu kua hakuna kitu nafanya kuhusu familia ndio nikaamua nibebe loan aone nia niliyonayo kujenga familia imara he nashangaa mauza uza yanaanza
kwenye familia sidhani km nitapata haki sababu ni mwongo halafu vikao sio level ground unafiki mwingi kabisa kwa hiyo unaingia kwenye kikao mnatoka n general conclusion za ohhh vumilianeni hakuna mtu anafunguka kwamba hapa fulani umekosea. ananifanyia mambo ya maudhi ukienda kwenye vikao hamna jipya

Nimekuelewa kaka kwa unachokisema ila nilikwambia kuwa hili n suala dogo kwa sababu niliwahi kufanya kazi ofis za ustaw wa jamii na kesi za jinsi hii niliwahi kukutana nazo.. Kama unaona ngaZi ya family inashindwa kutatua mgogoro wenu...kama mlifunga ndoa unaweza kiwaona wazee wa kanisa kama n mkristu na bakwata kama ilikuwa ndoa ya kiislam... Narudia tena kama una evidence kuwa ulinunua kiwanja wewe usiogope hata kidogo pia maneno na tabia za uongo za Hyo mwanamke ziskurudshe nyuma uache haki yako iende..

Pia ukiona ngaZi ya bakwata imeshindkana na mke wako anaendelea na tabia zile zile.
Peleka shauri lako ustaw wa jamii.. Ila kumbuka ustaw wa jamii hawasiklz mashtaka ya jinai.. Ila hudeal na mambo ya ustaw wa jamii kuhusu watoto n.k
.. So utengeneze kwa namna jambo hilo linavyoathir ustwi wa mtoto.. By any means mkeo atapinga.. Akifanya hivyo umwambie afisa ustawi wa jamii kuwa unataka suala hlo liende mahakaman... Hapo sasa ndipo utakuwa n muda muafaka wa kumkaanga... Narudia yena make sure una ushahd usio na mashaka .... Kaka usiumizw kichwa kuna watu ustaw wamepatwa na makubwa zaid ya haya huwez amin...

Udimuogope mkeo hao huwa wanatikisa kiberiti
 
]
ahsante sana mkuu nitaufanyia kazi ushauri wako
 
Sheria zinambeba sana mwanamke. Kama umezaa nae mtoto wewe usideal nae kwa sana . Ukienda mahakamani utapoteza muda. Anza kufanya mambo yako bila kumshirikisha kwa future yako na mwanao. Wanawake umiza kichwa noma.
ndugu yaani acha tu ni pasua kichwa si kidogo ahsante kwa ushauri
 
Kopa pesa uweke bond hicho kiwanja alafu uchape lapa na msingi wako.
mkuu benki zetu hazitaki kiwanja nimezunguka benki nyingi wanasema wanataka biashara ili wakukopeshe
 
Zipo benki nimeona watu wamechukulia mkopo hati ya kiwanja, benki hizi ndogondogo, nikashangaa.
 
Sasa kwanini ulipa na kuapa yale maneno jamani. Duh kweli mkeo alikosa kuchagua mume.

Hata uweke majina yako 10 yajaze hati mali ni yenu wote, ukimuacha anakula 50/50 nawewe.

Nimependa alichofanya.

Yeye ataweka majina yake au ya ndugu au mzazi eeeh

Umekasirika kakuzidi akili ulifikiri hanazo.
 
Wewe kama sio mmachame utakuwa mmeru.....wametoa michango watu wengi wewe hujaelewa kitu.....kweli wanake ni EVA/DELILA nyote.
 
Back
Top Bottom