Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,071
- 6,753
mkuu pole sana, ukipata mwenza ambaye hamfanyi mambo yenu kwa uwazi ni tabu sana, alichukua mkopo wakati hamjaanza kuishi pamoja au mkiwa pamoja? Isijekuwa ulionyesha vitabia vya michepuko akaona mkishare wewe unahonga jasho lake! hilo ni tatizo la ubinafsi mkeo analo na wewe unalo kabisaa yeye amechukua mkopo kwa siri na wewe kiwanja kuandikwa majina yenu wote umeumia hadi unatamani muachane.
Hapo una kakiwanja tu umeumia hivyo, huoni kama nyie wote ni wabinafsi? na ili muweze rekebishana lazima mmoja aamue kutoka moyoni amshauri mwenzie mara kwa mara nakumuweka bayana juu ya madhara ya kuwa wasiri katika familia ndipo mtafika sio tatizo dogo kama hilo unawaza kuachana utaacha wangapi tabia mpaka muwekane sawa yahitaji muda, mungu awape wepesi mkae muelewane