Naomba ushauri wa kisheria wandugu

Naomba ushauri wa kisheria wandugu

mkuu pole sana, ukipata mwenza ambaye hamfanyi mambo yenu kwa uwazi ni tabu sana, alichukua mkopo wakati hamjaanza kuishi pamoja au mkiwa pamoja? Isijekuwa ulionyesha vitabia vya michepuko akaona mkishare wewe unahonga jasho lake! hilo ni tatizo la ubinafsi mkeo analo na wewe unalo kabisaa yeye amechukua mkopo kwa siri na wewe kiwanja kuandikwa majina yenu wote umeumia hadi unatamani muachane.

Hapo una kakiwanja tu umeumia hivyo, huoni kama nyie wote ni wabinafsi? na ili muweze rekebishana lazima mmoja aamue kutoka moyoni amshauri mwenzie mara kwa mara nakumuweka bayana juu ya madhara ya kuwa wasiri katika familia ndipo mtafika sio tatizo dogo kama hilo unawaza kuachana utaacha wangapi tabia mpaka muwekane sawa yahitaji muda, mungu awape wepesi mkae muelewane
 
Wewe kama sio mmachame utakuwa mmeru.....wametoa michango watu wengi wewe hujaelewa kitu.....kweli wanake ni EVA/DELILA nyote.

Umejaa upu.pu usilazimishe eti nisome michango ya watu ndio nijibu. Haujioni wewe mfata mkumbo kujibu ya kama watu utajiju mshika mkia wee...nasoma uzi najibu haupendi pita kushoto. Kaa chini na kongosho lako full u Abimelech, u Bera, u Judas..
 
Pole ndugu yangu. Ila shida uliyonayo ni ya kifamilia sio kisheria. Kwa uelewa wangu mdogo iyo hati ni halali na wala haina kasoro. Na sheria inatamka wazi kuwa mali mliyochuma mkiwa pamoja ni mali yenu wote , ivo mkeo kafanya kosa ambalo halina adhabu. Hata ungeandka jina lako peke yako bado ni mali ya wawili. Na shukuru jina lako lipo ivo haki yako iko pale pale.
Pia mkikopea iyo doc lazma benki itataka spouse asaini .

Nakushauri either umuombe mkiuze mgawane, au ufanye uhuni mkopee pesa nyingi , surrender hati then ushindwe kuseevice mkopo kwa makisudi ili taasisi ya fedha ikiuze wakati ulishabeba hela yako in advance.
Vinginevo nakuona ukikwama.
Nb ...kwa swala ili kupata haki mahakamani sijui.
Hajakutapeli coz Kiwanja kipo, hajasema huna haki. Sijajua mahakama itakupa haki ipi wakati haki unayo. Wataalam anyway watakuja tu
At least umemshaur vzr mkuu
 
Kuna swali la msingi hapa, mana waonekana una hasira kiasi na inachangiwa na mengi ingawa umeeleza machache, naauliza kiwanja umenunua bei gani?, mkopo uliochukua ni kiasi gani!?, na yeye mkopo aliochukua ni kiasi gani?, ili tuweze pata kosa la msingi, isije ikawa ni mkopo wa laki 5
 
Back
Top Bottom