Mtoto akiwa adopted na wanaondoa anakuwa kama mtoto wao wadamu. Atakuwa na haki zote kama there biological child. Wazazi wakiachana, baada ya divorce tutolewa, swala linalofwata ni mtoto atakaa na nani. Hakuna provision inayosema mtoto lazima akae na baba au mama. Wazazi wanaweza kukuabiliana e.g atakaa week kwa baba kisha week kwa mama. Its called a joint custody.
But where parents fail to agree on the terms of the custody then mahakama itaigilia kati. As a general rule, mtoto atakaa na mama. Hii nikutoka kwenye sheria ya mtoto ya mwaka 2009, however kama mama hatakuwa nauwezo wa kiafya au kifedha or any factor ambayo itafanya mahakama ione kwamba ni bora mtoto akae kwa baba then itakuwa hivyo. Soma law of the child act 2009 for more clarification.