naomba ushauri wa kisheria!

naomba ushauri wa kisheria!

32Roberts

Senior Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
109
Reaction score
17
Ndugu wanajf law,nnaswali ambalo ntashukuru kama litajibiwa.

Suppose kutokana na matatizo ya kiafya either ya mmoja wapo kati ya Mke au Mume,hawawezi kupata watoto.Na wakaamua ku adopt mtoto,and suppose baada ya ku adopt mtoto hali ya ndoa haikwenda sawa na kulazimisha either separation au Divorce.Je nani anabaki na custody ya mtoto? Mwanaume au mwanamke?na sheria zinasemaje juu ya hili?
 
Atabaki nae huyo atakae apply custody juu ya huyo mtoto..!!
 
Mtoto akiwa adopted na wanaondoa anakuwa kama mtoto wao wadamu. Atakuwa na haki zote kama there biological child. Wazazi wakiachana, baada ya divorce tutolewa, swala linalofwata ni mtoto atakaa na nani. Hakuna provision inayosema mtoto lazima akae na baba au mama. Wazazi wanaweza kukuabiliana e.g atakaa week kwa baba kisha week kwa mama. Its called a joint custody.
But where parents fail to agree on the terms of the custody then mahakama itaigilia kati. As a general rule, mtoto atakaa na mama. Hii nikutoka kwenye sheria ya mtoto ya mwaka 2009, however kama mama hatakuwa nauwezo wa kiafya au kifedha or any factor ambayo itafanya mahakama ione kwamba ni bora mtoto akae kwa baba then itakuwa hivyo. Soma law of the child act 2009 for more clarification.
 
Back
Top Bottom