Maana yangu umemuuzia mtu kiwanja au umenunua kiwanja ambacho kina hati sasa mnunuzi anaweza kwenda ardhi na hati ya kiwanja pamoja na nyaraka za mauziano akaweza kupewa hati nyingine bila ya muuzaji kuhitajika kujaza baadhi ya document za wizara? Maana kuna kautapeli kamefanyika