Naomba ushauri wa kisheria

Naomba ushauri wa kisheria

marobotata

Member
Joined
Aug 13, 2015
Posts
25
Reaction score
4
Hivi inawezekana hati ya ardhi ikabadilishwa jina bila ya mm ilikuwa wa mwanzo kusaini sehemu ya document za wizara ya ardhi
 
Maana yangu umemuuzia mtu kiwanja au umenunua kiwanja ambacho kina hati sasa mnunuzi anaweza kwenda ardhi na hati ya kiwanja pamoja na nyaraka za mauziano akaweza kupewa hati nyingine bila ya muuzaji kuhitajika kujaza baadhi ya document za wizara? Maana kuna kautapeli kamefanyika
 
Kiwanja kinauzwa pugu kwa mbiki ukubwa nusu eka kipo barabarani kabisa bei millioni 30 kwa mawasiliano piga 0684687366.changamkia fursa
 
Back
Top Bottom