Naomba ushauri wa kitaalam

Naomba ushauri wa kitaalam

Aine

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
1,603
Reaction score
489
Poleni na majukumu wakuu. Nina ndg yangu ana mtoto mdogo wa miezi 10, bahati mbaya amegundu ni mjamzito, yuko ndani ya ndoa na hana mpango wa kutoa mimba kwani ni dhambi kwa Mungu.

Swali lake, je mtoto amuachishe kunyonya au aendelee kumnyonyesha hadi mimba ikiwa na miezi mingapi? Na je kuna madhara yoyote mtoto anapoendelea kunyonya?

Maziwa yanatoka kama kawaida
 
Nukushukuru sana sana ndg yangu, be blessed
 
Back
Top Bottom