NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,868
- 5,164
Mwanamke mwenzenuWewe ni mwanamke au mwanaume?
Mmnh 🌝Mwanamke mwenzenu
Ukisoma vizuriMmnh 🌝
Kwakweli hata sijui natakiwa kumshauri vipiUkisoma vizuri
We mpe tu ushauri kwamba namba yake iko tracked. Aharibu kuwaona hao voda au tigo etc wamsaidie au abadil nambaKwakweli hata sijui natakiwa kumshauri vipi
Amekusikia..We mpe tu ushauri kwamba namba yake iko tracked. Aharibu kuwaona hao voda au tigo etc wamsaidie au abadil namba
PmWandugu naomba msaada wenu nifanyeje.
Kuna mtu nilikuwa na mahusiano naye awali lakini nimeyakata kwa sababu binafsi kutokana na tabia yake hanidai chochote na wala sijawahi kumtegemea kwa chochote maana najiweza vizuri tu ila kiukweli yeye ndio ananitegemea zaidi.
Sasa amekuwa akininyima raha na haki ya uhuru binafsi.Ninapopiga simu au hata kutuma message kwa mtu yeyote yeye yuko mbali anajua na ananipigia uliongea na mtu flani hivi na hivi.
Je nichukue hatua gani kuomesha hali hii?