Naomba ushauri wa kitabibu Dr

AON

Senior Member
Joined
Sep 22, 2013
Posts
106
Reaction score
18
Ninampenzi wangu anahisia kali sana yaani akigusana tu na mwanaume hisia zinapanda atakama wakisalimiana kwa kushikana mikono. Mfano nikitaka kudooo nae nikimshika tu mkono analegea na anakuwa yuko tayari kudooo. Naomben msaada namna ya kumsaidia ili kupunguza hisia maana kwa khari hii naona kama naibiwa kwamtu anaejua hari yake ingawa ananiambia kwamba niko peke yangu na mm nimempata tu ata mwezi haujaisha
 
kama wewe umempata, na mwingine pia atampata uamuzi ni wake.
 
Mwezi tu haujaisha umeanza kuwaz na wivu wa kuibiwa... Usiwe na shaka ni wako huyo
 
Mduu sana usimulegezee ,kwan ndipo atakapopunguza hisia iwe usiku au mchana mduu(gonga)
 
Huyo atakuwa na pepo la ngono, aombewe2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…