Ninampenzi wangu anahisia kali sana yaani akigusana tu na mwanaume hisia zinapanda atakama wakisalimiana kwa kushikana mikono. Mfano nikitaka kudooo nae nikimshika tu mkono analegea na anakuwa yuko tayari kudooo. Naomben msaada namna ya kumsaidia ili kupunguza hisia maana kwa khari hii naona kama naibiwa kwamtu anaejua hari yake ingawa ananiambia kwamba niko peke yangu na mm nimempata tu ata mwezi haujaisha