Naomba ushauri wa Kozi ya kuchagua

Naomba ushauri wa Kozi ya kuchagua

Zou Alley

Member
Joined
May 15, 2022
Posts
39
Reaction score
32
Habari wakubwa,

Kwa heshma kubwa naomba ushauri Kwa Binti /kijana wetu anahitaji ushauri wa ki confirm kozi ambayo itakuwa Bora Zaid kwake Kwa ambazo amechaguliwa.

Kozi zenyewe ni kama ifuatavyo

1. Bachelor of arts in economics_Ardhi university.

2. Bachelor of accounting with Information Technology_IFM.

3. Bachelor of Agriculture Investment and Banking_ Sua.

4. Bachelor of Accounting and finance in Bussiness sector_ Mzumbe university Dar campus

5. Bachelor of Bussiness information technology _ Udom

6. Bachelor of accounting and finance in public sector. _TIA.

Combi aliosoma ni HGE na kufanikiwa kupata div 1.8
History B
Economics C
Geography C
Bam D
Namtegemea ushauri na muongozo wenu
 
rafiki angu angalia upepo wa ajira kama kwenu hammiliki hata duka la rejareja

soma course zenye future

ni hayo tu
Ndio kama zipi hizo? Vipi akiisomea Economics and finance IFM ni kozi nzuri?
 
Habari wakubwa,

Kwa heshma kubwa naomba ushauri Kwa Binti /kijana wetu anahitaji ushauri wa ki confirm kozi ambayo itakuwa Bora Zaid kwake Kwa ambazo amechaguliwa.

Kozi zenyewe ni kama ifuatavyo

1. Bachelor of arts in economics_Ardhi university.

2. Bachelor of accounting with Information Technology_IFM.

3. Bachelor of Agriculture Investment and Banking_ Sua.

4. Bachelor of Accounting and finance in Bussiness sector_ Mzumbe university Dar campus

5. Bachelor of Bussiness information technology _ Udom

6. Bachelor of accounting and finance in public sector. _TIA.

Combi aliosoma ni HGE na kufanikiwa kupata div 1.8
History B
Economics C
Geography C
Bam D
Namtegemea ushauri na muongozo wenu
Aruke na namba mbili 2. IFM
 
Ndio kama zipi hizo? Vipi akiisomea Economics and finance IFM ni kozi nzuri?
soma course proper ya kada husika

mfano Mhasibu anatumbulika kwa urahisi anaposoma course ya Accountancy
Nurse anatambulika akisoma course ya Nursing
 
Kitaalam hapo nashauri aende Mzumbe akifika abadilishe ahamie BA Economics kwq sababu ana misingi nayo apande nayo mpaka Masters.

Nasema hivyo kwa sababu hizo two Yeara amejengwa kwenye Economics na Geography masomo yanayoendana na Degree atayofanya.

Akiopt BAF ataweza pia ingawa changamoto atakazokutana nazo ni kwenye Course za Accounts na QMs ambazo anazifanya vizuri yule aliyefanya EGM advance.Karibu DM tushauriane zaidi.
 
Asante sana kwa muongozo.Shukran mkuu
 
Asante sana kwa ushauri naomba nije Dm Kwa muongozo zaid
 
Kitaalam hapo nashauri aende Mzumbe akifika abadilishe ahamie BA Economics kwq sababu ana misingi nayo apande nayo mpaka Masters.

Nasema hivyo kwa sababu hizo two Yeara amejengwa kwenye Economics na Geography masomo yanayoendana na Degree atayofanya.

Akiopt BAF ataweza pia ingawa changamoto atakazokutana nazo ni kwenye Course za Accounts na QMs ambazo anazifanya vizuri yule aliyefanya EGM advance.Karibu DM tushauriane zaidi.
Asante sana kwa ushauri naomba nije Dm Kwa ushauri Zaid.
 
Back
Top Bottom