mfuga kuku
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 824
- 650
Its no longer marketable, watu kujifunza computer bila kuenda kwenye formal system, simu ziliua hiyo biashara ya computer training pamoja na shule za msingi zinafundisha watoto mapema.Wanabodi kutokana na hali ya kimaisha kuendelea kuwa ngumu, nimepata wazo la kuanzisha Darasa dogo tu la mafunzo yale ya awali ya computer ikipendeza nianze na computer 10, naomba Ushauri kwa mwenye idea na hii kitu ni
1. Vitu gani ambavyo vinahitajika zaidi ya hizo computer?
2. Naweza kuongeza na kitu gani ili kuleta mvuto wa biashara hiyo?
3. Vipi mambo ya Usajili hayawezi kunikaba? endepo kama sitasajili?
4. Ni kitu gani kingine naweza kuongeza ktk biashara hiyo na vikaenda sambamba?
5. Mawazo yote yenye kunijenga nayapokea nayakaribisha!
Natanguliza Shukrani
Ahaa Kuumbe!Its no longer marketable, watu kujifunza computer bila kuenda kwenye formal system, simu ziliua hiyo biashara ya computer training pamoja na shule za msingi zinafundisha watoto mapema.
Ndiyo mkuu usipoteze pesa zako, labda pata tenda ya kufundisha mashuleniAhaa Kuumbe!
Kwa hapa Tz bado anaweza fungua kituo cha computer training. Mana sio kila mtu ana adapt vitu vipya, washamba ni wengi sana na hawawezi kuisha haraka.Its no longer marketable, watu kujifunza computer bila kuenda kwenye formal system, simu ziliua hiyo biashara ya computer training pamoja na shule za msingi zinafundisha watoto mapema.
Ahsante sana Mkuu, kwa hakika umenitia Moyo!Wekeza usiogope na uwawekee internet cafe uza na juice vutia biashara yako maana bando ni bei ukifanya hivyo weka na bei 1500 kuanzia asubuhi hadi jioni utapata pesa nyingi sana
Be blessed Mkuu! Ahsante sana, tena nilikusudia kupita kwenye Shule za Sekondari kwa ajili ya kutangaza kituo na kuweka kiji offer hata cha t-shirt moja simple tu!Kwa hapa Tz bado anaweza fungua kituo cha computer training. Mana sio kila mtu ana adapt vitu vipya, washamba ni wengi sana na hawawezi kuisha haraka.
Ahsante kwa ushauri nimeupokea na nitaufanyia kazi.Fundisha programming l
Hamna kitu kinacho katisha tamaa au kurudisha nyuma kama kupoteza mtaji, kwahiyo jitahid kua makini sanaa mkuu.Be blessed Mkuu! Ahsante sana, tena nilikusudia kupita kwenye Shule za Sekondari kwa ajili ya kutangaza kituo na kuweka kiji offer hata cha t-shirt moja simple tu!
Ngoja wajeBe blessed Mkuu! Ahsante sana, tena nilikusudia kupita kwenye Shule za Sekondari kwa ajili ya kutangaza kituo na kuweka kiji offer hata cha t-shirt moja simple tu!
Ahsante kwa Tahadhari, visent vya kudunduliza nipo makini Sana! kwa huku nilipo nna uhakika naweza kupata visent kidogo.Hamna kitu kinacho katisha tamaa au kurudisha nyuma kama kupoteza mtaji, kwahiyo jitahid kua makini sanaa mkuu.
Hii imeenda [emoji3][emoji3]
Hiyo ni CPU moja inaendesha monitor hata 20. Tunaita machine virtualizationHii imeenda [emoji3][emoji3]
π π π π πKwa hapa Tz bado anaweza fungua kituo cha computer training. Mana sio kila mtu ana adapt vitu vipya, washamba ni wengi sana na hawawezi kuisha haraka.
Jamaa anafundisha program za kumpyuta. Wengi wanajua kuplay muziki na muvi.Its no longer marketable, watu kujifunza computer bila kuenda kwenye formal system, simu ziliua hiyo biashara ya computer training pamoja na shule za msingi zinafundisha watoto mapema.