Naomba ushauri wa kuanzisha darasa la mafunzo ya computer

Ni wazo zuri sana. Watanzania wengi hawapiti kwenye hizo formal systems. Wengi wa watz hujifanya hujua kila kitu lakini ni kinyume chake. Binafsi nina kituo kama wazo lako na kila mwezi nafundisha walau corporate moja hasa watu wa mabenki, na taasisi za serikali! Cha muhimu wewe hujue hizo applications kwa kiwango cha juu! Humo maofisini watu wameingizwa tu na ndugu zao lkn ujuzi wa soft skills ni 0% keep it up! Sajili kituo, uwe na tin ili uweze kupata kazi za maana!
Ahsante Sana kwa Ushauri.
 
Do it, usikbali kukatishwa tamaa,sauti ya kwanza toka nafsini mwako ndo huwa imebeba maoni,ifuate hakika utatoka mkuu,nina udhoefu wa hii kazi,katika ofisi yako weka na photocopy machine,printers nk.
 
Ahsante Sana kwa Ushauri Mkuu! Nitazingatia Sauti toka ktk Nafsi yangu!
 
Ni wazo zuri sana. Watanzania wengi hawapiti kwenye hizo formal systems. Wengi wa watz hujifanya hujua kila kitu lakini ni kinyume chake. Binafsi nina kituo kama wazo lako na kila mwezi nafundisha walau corporate moja hasa watu wa mabenki, na taasisi za serikali! Cha muhimu wewe hujue hizo applications kwa kiwango cha juu! Humo maofisini watu wameingizwa tu na ndugu zao lkn ujuzi wa soft skills ni 0% keep it up! Sajili kituo, uwe na tin ili uweze kupata kazi za maana!
Naomba unipe hints namna wanavyosajili, ofisi gani ni responsible kwa Usajili, na vitu gani vinavyohitajika wakati wa Usajili.
 
Back
Top Bottom