Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo tenda inakuwajeNdiyo mkuu usipoteze pesa zako, labda pata tenda ya kufundisha mashuleni
Ahsante Sana kwa Ushauri.Ni wazo zuri sana. Watanzania wengi hawapiti kwenye hizo formal systems. Wengi wa watz hujifanya hujua kila kitu lakini ni kinyume chake. Binafsi nina kituo kama wazo lako na kila mwezi nafundisha walau corporate moja hasa watu wa mabenki, na taasisi za serikali! Cha muhimu wewe hujue hizo applications kwa kiwango cha juu! Humo maofisini watu wameingizwa tu na ndugu zao lkn ujuzi wa soft skills ni 0% keep it up! Sajili kituo, uwe na tin ili uweze kupata kazi za maana!
Ahsante kwa kunitia MoyoUkipambana unaweza.
Ahsante kwa Mwangaza Mkuu!Hiyo tenda inakuwaje
Ahsante Sana kwa Ushauri Mkuu! Nitazingatia Sauti toka ktk Nafsi yangu!Do it, usikbali kukatishwa tamaa,sauti ya kwanza toka nafsini mwako ndo huwa imebeba maoni,ifuate hakika utatoka mkuu,nina udhoefu wa hii kazi,katika ofisi yako weka na photocopy machine,printers nk.
[emoji122][emoji122]Safi.
Naomba unipe hints namna wanavyosajili, ofisi gani ni responsible kwa Usajili, na vitu gani vinavyohitajika wakati wa Usajili.Ni wazo zuri sana. Watanzania wengi hawapiti kwenye hizo formal systems. Wengi wa watz hujifanya hujua kila kitu lakini ni kinyume chake. Binafsi nina kituo kama wazo lako na kila mwezi nafundisha walau corporate moja hasa watu wa mabenki, na taasisi za serikali! Cha muhimu wewe hujue hizo applications kwa kiwango cha juu! Humo maofisini watu wameingizwa tu na ndugu zao lkn ujuzi wa soft skills ni 0% keep it up! Sajili kituo, uwe na tin ili uweze kupata kazi za maana!
BrelaNaomba unipe hints namna wanavyosajili, ofisi gani ni responsible kwa Usajili, na vitu gani vinavyohitajika wakati wa Usajili.