Y yusuphAhly12 Member Joined Jul 9, 2017 Posts 5 Reaction score 3 Jan 14, 2023 #1 Wakuu habari zenu, Nina mtaji wa milion 20, nataka kufanya biashara ya vipodozi au vinywaji pombe kali za jumla na rejareja, frame ipo msamvu karibia na stand ya msamvu, naombeni ushauri wenu wakuu
Wakuu habari zenu, Nina mtaji wa milion 20, nataka kufanya biashara ya vipodozi au vinywaji pombe kali za jumla na rejareja, frame ipo msamvu karibia na stand ya msamvu, naombeni ushauri wenu wakuu