Naomba ushauri wa kuanzisha duka la vipodozi, nina mtaji wa Milioni 20

Naomba ushauri wa kuanzisha duka la vipodozi, nina mtaji wa Milioni 20

yusuphAhly12

Member
Joined
Jul 9, 2017
Posts
5
Reaction score
3
Wakuu habari zenu,

Nina mtaji wa milion 20, nataka kufanya biashara ya vipodozi au vinywaji pombe kali za jumla na rejareja, frame ipo msamvu karibia na stand ya msamvu, naombeni ushauri wenu wakuu
 
Back
Top Bottom