Nashukuru kwa kuliona hilo...ila nimechukua tahadhari zote...na pia mimi nimekuwa nafanya biashara kwa muda mrefu sema hii ya kuanzisha kiwanda ndo nilikuwa nasubiri nistaafuWazo zuri ila ingependeza ungekua umelianza kabla ya kustaafu usije maliza hela za pensheni na biashara isikulipe.
Wataalamu wanakuja wasubiri
Haya Mkuu kila la heri.Nashukuru kwa kuliona hilo...ila nimechukua tahadhari zote...na pia mimi nimekuwa nafanya biashara kwa muda mrefu sema hii ya kuanzisha kiwanda ndo nilikuwa nasubiri nistaafu