Pagejawapageja Member Joined Jan 11, 2013 Posts 63 Reaction score 16 Jun 19, 2014 #1 Heshima kwenu wakuu!!Mimi nimtumishi wawizara ya Afya ninataka kuchukua mkopo Wa fedha Benki.Je ni benki gani ambayo ina masharti yaliyo nafuu na riba ndogo. Naomba USHAURI tafadhali jamani.
Heshima kwenu wakuu!!Mimi nimtumishi wawizara ya Afya ninataka kuchukua mkopo Wa fedha Benki.Je ni benki gani ambayo ina masharti yaliyo nafuu na riba ndogo. Naomba USHAURI tafadhali jamani.
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,421 Reaction score 18,760 Jun 19, 2014 #2 je mtumishi wa umma wewe unachukulia mshahara wako benki gani? anzia hapo kisha ulinganishe na benki nyingine....sawa?
je mtumishi wa umma wewe unachukulia mshahara wako benki gani? anzia hapo kisha ulinganishe na benki nyingine....sawa?
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 15,301 Reaction score 13,858 Jun 19, 2014 #3 Bank ya posta ni nafuu kidogo nenda kawaone...
Pagejawapageja Member Joined Jan 11, 2013 Posts 63 Reaction score 16 Jun 19, 2014 Thread starter #4 Poa ila Mimi nachukulia mshahara NMB
D dundula JF-Expert Member Joined Jan 3, 2012 Posts 539 Reaction score 138 Jun 19, 2014 #5 Pagejawapageja said: Poa ila Mimi nachukulia mshahara NMB Click to expand... Nmb ndo poa hawana hela za mawazo km posta na mashart yao ni nafuu sana na hela utaipata kwa wakati bila kuzungushwazungushwa!
Pagejawapageja said: Poa ila Mimi nachukulia mshahara NMB Click to expand... Nmb ndo poa hawana hela za mawazo km posta na mashart yao ni nafuu sana na hela utaipata kwa wakati bila kuzungushwazungushwa!