Pagejawapageja
Member
- Jan 11, 2013
- 63
- 16
Heshima kwenu wakuu!!Mimi nimtumishi wawizara ya Afya ninataka kuchukua mkopo Wa fedha Benki.Je ni benki gani ambayo ina masharti yaliyo nafuu na riba ndogo.
Naomba USHAURI tafadhali jamani.
Naomba USHAURI tafadhali jamani.