Naomba ushauri wa kufanikisha kuanza biashara ya chakula cha kuku

Naomba ushauri wa kufanikisha kuanza biashara ya chakula cha kuku

Jumaa gosso

Senior Member
Joined
Sep 4, 2016
Posts
188
Reaction score
127
Habari wana Jf, kwanza nitangulize heshima kwenu wana jamvi.

Nimeuleta huu uzi kwenu kwasababu mpo active muda wote nina imani mtanisapoti.

Nataka kuanzisha kiwanda kidogo cha kutengeneza chakula cha kuku wa kienyeji pure, malawi, chotara n k. Yaani namaanisha breed zote za kuku wa asili.

Je ni taratibu zipi nizipitie ili niweze kufanikisha project hii? Ni lazima niwe na kampuni ili kufanya hivyo?

Ningependa project yangu niite *KIENYEJI CHICK MASHA*

Mawazo yenu jamani, nina mtaji wa milioni 6.
 
Habari wana Jf nahitaji kuanzixha project ya kutengeneza chakula cha kuku wa kienyeji bleed zote Malawi chotara kienyeji pure nk……mwenye kujua biashara hii msaada pls

Ukifanikiwa kuanzisha nitakua mteja wako
 
Wadau wenye uelewa toeni mchango kwa mdau
 
Ukisema utengeneze kiwanda kwa ajili ya kienyeji hapo tayari unawapa diet ya kisasa hao kuku wa kienyeji.
 
Back
Top Bottom