NB:Bado sijamtumia hela yoyote ila kesho j5 ndo nimepanga kutuma izo ela.
Akithibitisha gari iko vyema, mtumie fedha huyu dereva uliyemtuma akamilishe biashara na arudi na gari.
- Tafuta dereva mwenye ujuzi na magari ( awe fundi pia )
- Mpe nauli aende kukagua gari.
Usitume fedha hata nusu, hadi gari ikaguliwe
Bila shaka atakuwa kaona ilo gari kwa page ya aman_used_cars! Jamaa ndio anapostigi gari za bei chee sana. Ila kipengele ni kwamba yuko MZA.Yaani wa Dar unanunua gari Mwanza[emoji15]....hiyo ni sawa na mtu wa Tanga akanunue nazi Moro na wa Moro pia akanunue mchele Tanga
Halafu gari yenyewe wala hajaikagua!Yaani wa Dar unanunua gari Mwanza[emoji15]....hiyo ni sawa na mtu wa Tanga akanunue nazi Moro na wa Moro pia akanunue mchele Tanga
shukrani sana mkuuAkithibitisha gari iko vyema, mtumie fedha huyu dereva uliyemtuma akamilishe biashara na arudi na gari.
- Tafuta dereva mwenye ujuzi na magari ( awe fundi pia )
- Mpe nauli aende kukagua gari.
Usitume fedha hata nusu, hadi gari ikaguliwe
Ni kweli mkuu unachosema lakini hii gari ni imekua zali yani ni gari kali mmiliki anauza sababu ya shida yani anahitaji pesa ya haraka aokoe mambo yakeYaani wa Dar unanunua gari Mwanza[emoji15]....hiyo ni sawa na mtu wa Tanga akanunue nazi Moro na wa Moro pia akanunue mchele Tanga
Nipo Mwanza....nielekeze nikakuangalizie,muulize kama ni uwanja wa furahisha au mitaa ya u-turn nimfate chapu,maana ndio maeneo yaoNi kweli mkuu unachosema lakini hii gari ni imekua zali yani ni gari kali mmiliki anauza sababu ya shida yani anahitaji pesa ya haraka aokoe mambo yake
daaaah [emoji23][emoji23]Nilitakaga kutapeliwa laki 2 na washenzi wa Temeke wale ambao hupost magari wakiyatag kuwa yapo mikoani. Gari ilipostiwa iko Songea ila nitume advance dereva aje nalo Dar.
Katika ku reason haikuniingia akilini nikamtuma jaaa yangu alieko Dar akaongee na mwenye gari maana ilisemekana yupo Dar alisafiri kwa dharura ndio kusanukia kumbe ni chain ya matapeli.
UnaibiwaNi kweli mkuu unachosema lakini hii gari ni imekua zali yani ni gari kali mmiliki anauza sababu ya shida yani anahitaji pesa ya haraka aokoe mambo yake
Kununua gari ambayo imeshatumika hapa nchini ni sawa na kwenda kutafuta mchumba uwanja wa fisi!Ndo maana ya kuuliza mkuu, au hujaelewa kilichoandikwa?
Tatizo muda mkuu, katika week yenye siku 7 ninapumzika siku moja tu tena saa zingine hakuna kabisa, sasa muda wa kwenda mwanza nitatoa wapi?Huwa naamini watu wa Dar wote ni wajanja kumbe wengine mko kama huku kwetu mkoani tu,ingekuwa mimi ningepanda Basi na fundi wangu mpk Mwanza ,ungekagua gari kama tukiridhika tunafanya malipo,then tungerudi nalo Dar mdogo mdogo.Gari za mkononi kupigwa ni dakika moja,huyo fundi ukimtuma peke yake anaweza kulishwa vihela akakudanganya kuwa gari halina shida,pia uache uvivu safari ya Dar ni siku moja tu na hizo ni hela kwanini unataka kucheza bahati nasibu na pesa yako...?