Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuma mtu unaemuaminiTatizo muda mkuu, katika week yenye siku 7 ninapumzika siku moja tu tena saa zingine hakuna kabisa, sasa muda wa kwenda mwanza nitatoa wapi?
Angali na kuwa makini mzee, hio hela sio ndogo. Gari kwa picha inaweza kuwa imenyooka kweli ila engine ikawa ishafunguliwaga pengine imefanyiwa overhaul hutajua. Au ina knock ya mbali hutajua! Huwezi kuagiza gari kama pea ya kiatu mkuu.daaaah [emoji23][emoji23]
Kama huwezi kutenga siku mbili ukaja mwanza kuokoa pesa yako basi utalazwa wiki mbili kwa sababu ya pressure tuone huo muda wa kulazwa kama utakosa. Hao vijana nawajua ila siwaamini. Unless kama ni kampuni ya madalali wa mahakama.Tatizo muda mkuu, katika week yenye siku 7 ninapumzika siku moja tu tena saa zingine hakuna kabisa, sasa muda wa kwenda mwanza nitatoa wapi?
Wewe ni rahisi sana kutapeliwa mkuu.Ni kweli mkuu unachosema lakini hii gari ni imekua zali yani ni gari kali mmiliki anauza sababu ya shida yani anahitaji pesa ya haraka aokoe mambo yake
Ukitaka kufanya biashara, kiwango cha huruma kiwe chini ya 30%Ni kweli mkuu unachosema lakini hii gari ni imekua zali yani ni gari kali mmiliki anauza sababu ya shida yani anahitaji pesa ya haraka aokoe mambo yake
Nimeelewa mkuu,shukrani kwa ushauriAngali na kuwa makini mzee, hio hela sio ndogo. Gari kwa picha inaweza kuwa imenyooka kweli ila engine ikawa ishafunguliwaga pengine imefanyiwa overhaul hutajua. Au ina knock ya mbali hutajua! Huwezi kuagiza gari kama pea ya kiatu mkuu.
Gharama za matengenezo na headache ni kubwa sana unless unalichukua kwa mtu unayemfahamu na pia hio gari isiwe tofauti na Toyota tu. Utanishukuru baadae.
[emoji23][emoji23], nashukuru mkuu kwa ushauri wako mzuriKama huwezi kutenga siku mbili ukaja mwanza kuokoa pesa yako basi utalazwa wiki mbili kwa sababu ya pressure tuone huo muda wa kulazwa kama utakosa. Hao vijana nawajua ila siwaamini. Unless kama ni kampuni ya madalali wa mahakama.
Kuna wimbo wa King Kaka unaitwa Wajinga nyinyi ni bonge la wimbo mzee baba.Ni kweli mkuu unachosema lakini hii gari ni imekua zali yani ni gari kali mmiliki anauza sababu ya shida yani anahitaji pesa ya haraka aokoe mambo yake
Nasema hivyo kulingana na uliyoyaeleza. Umetanguliza utu sana kwenye pesasio rahisi kiasi iko unachowaza