Feld Marshal Tantawi
JF-Expert Member
- Dec 24, 2014
- 655
- 1,069
safi sn kwa elimu nzurYaan Best ni utumie Wifi, Kama haiwezekan tumia data ila ukiwa unatumia data mara kidogo unazima then dakika 5 umewasha simu haijatulia ukazima tena mara unawasha kuna watu wanafanyaga hivyo, ukifanya hivi unadrain battery faster either zima data completely tumia wifi au acha data on zima background apps iPhone yako ita survive mda mrefu
wanajifanya wanaoptimize[emoji16][emoji16].Jamani enhe nimesoma msg zote mpk nikafeel emotional yani..
Ila ni hivi iPHONE n iPHONE huwezi fananisha na android..japo iphone wanazngua tu kwenye battery ila najua watakuja kurekebisha tu..itel A56 ya 150,000 ina 5000mAh halafu iPhone 7 ya 550,000 ina 2900mAh yani inakera kwa kweli...ila kwenye sekta nyingine zote IPhone naona wapo vizuri hata mm nina mpango wa kurudi iphone baada ya kuiacha kwa muda mrefu kwa sababu ya masomo na ufinyu wa mshiko yani hela[emoji38]