Naomba ushauri wa kupata simu ya nzuri za iPhone

Naomba ushauri wa kupata simu ya nzuri za iPhone

Kwanini utumie simu ya zamani mkuu, nunua simu ya mwaka huu yenye specs kali kwa bei ya wastani, nenda kwa Xiaomi Redmi Note 10 au ongeza pesa kidogo uchukue Redmi Note 10 Pro, kamera kali 64MP/128MP, screen kubwa 6.7'' SuperAmoled, Snapdragon.....
Wanataka iPhone hao. Sisi wazee wa Android acha tuenjoy simu nzuri kwa bei rahisi tu.
 
Mkuu naomba nikushauri kitu kwa budget yako I suggest iPhone 7 plus tena uipate ile matte black aisee ni bonge moja la simu executive kimuonekano [emoji123] whether refurb or used one in good condition. Kuna machimbo ya uhakika kabisa unaipata hiyo iliyotulia bila papara nakushauri utulie ufanye research kwanza. Aisee mimi ni iPhone enthusiast huniambii kitu nilishaitumia hiyo, wahuni waliipiga pale Tips mida mibovu nikahamia Samsung chap na uchumi ule wa Hayati Uncle Magu [emoji38] Nasikilizia hizi za sasa watoe ile notch tu pale juu nirudi fasta [emoji23]

Hahah kweli mkuu kumbe notch inatusumbua wengi. Watafute namna ya kuwek indispaly sensor za hii face ID tupambane tuchukue vyuma, nahis hiyo inayokuja 13 maybe au
 
Hahah kweli mkuu kumbe notch inatusumbua wengi. Watafute namna ya kuwek indispaly sensor za hii face ID tupambane tuchukue vyuma, nahis hiyo inayokuja 13 maybe au
apple huwa ana misimamo ya kindezi,anawajua wateja wake.

iphone 13 itapunguzwa urefu wa notch tu haitaondolewa.
 
Kwanini utumie simu ya zamani mkuu, nunua simu ya mwaka huu yenye specs kali kwa bei ya wastani, nenda kwa Xiaomi Redmi Note 10 au ongeza pesa kidogo uchukue Redmi Note 10 Pro, kamera kali 64MP/128MP, screen kubwa 6.7'' SuperAmoled, Snapdragon.....
Si nasikia hzi simu hazipatikan bongo kirahis?
 
kuna mdada nmepanga nae ana iphone akiwa anawasiliana anahakikisha vidole havizibi lile tunda[emoji1].nikiwa napiga nae story ananiambia iphone n ya kutoka nayo tuu out akirud geto anachukua infinix .anakwambia tangu amiliki iphone hajawah weka wimbo wwte et inamchanganya upande wa kudownload na mambo mengi yapo complicated[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
😅😅😅😅😅😅 nimecheka sana aisee
 
Bro ulikua unatumia Bajaji alaf unanunua V8 unashangaa liko faster? Nunua Android ya bei kubwa uone kma iko slow kma hzo itel
Hahahahah android za Spec kubwa nimetumia mkuu ila kwa wepesi iOS ni nyepesi sana
 
Mkuu chukua iPhone 7 Gb 128 ni simu nzuri sana unapata IOS updates zote hadi latest 14.5 pia ina high processing speed na 2gb Ram.
Charge inakaa kutwa nzima ukiwa online Mda wote with 4G network.

Kinging apple wana real phone specification.
Eg.
retina camera, jinsi macho yako yanvyoona kitu ndio picha ya iPhone ikionyesha

Real Ram, iPhone huwezi kuta ina stack au ku load kitu kwa muda mrefu kama android

Lakini Android huwa simu zao wana label specifications yaan unakuta simu specification kubwa lakini uwezo au uharisia zero kabisa.

Mimi natumia iPhone 7 gb 128 na jamaa yangu anatumia sumsung kubwa tu kam A10 au A20 tulizilinganisha uwezo wa processing power ya internet

Tukachukua laptop yenye Ram 8gb na processor core i3 Tuka connect WIFI kwa kutumia simu yake ya Samsung aisee pc iko slow kwenye internet Kama kobe

Then tuka disconnect na ku connect iPhone 7 yangu 4G network aisee yaani ukigusa link faster pc ina open.
Na wote tulitumia chip ya Vodacome 4G

Baada ya hapo jamaa akaamini iPhone wapo realistic kuliko android wao wana label specification lakini uwezo halisi wa simu zero.
Kwa hiyo achane kuofananisha iPhone na simu za kijinga.
Hio simu asijaribu ni simu nzuri kwa utendaji ila haina ufanisi hata upande wa battery na charging nilimchukulia Mshua namie nikachukua 6S! Hii yangu 6S ina uvumilivu kuliko 7 ile ya mzee japo zote utachaji mara 3 per day
 
3times per day???
 
Kwa mie natumia simu masaa 22 kwa siku lazma nichaji mara 3-4 thru the day
Hapo sawa.Ila umeniingiza mkenge.kwamba unalala masaa 2?Siyo 2 kwanza bado hujala na kuoga au unafanya yote hayo ukiwa unatumia sim?🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom