Naomba ushauri wa mbegu gani bora kilimo cha Nyanya.

Hongera mkuu, ebu sogea duka lililokarbu utajifunza zaid
 
Mkuu hongera Sana.Ila nakupa tahadhari ya Bei utakayokutana nayo unapovuna:haitakuwa rafiki.Kama utavumilia ili Mavuno yako yaingie Sokoni Mwezi Disemba Hadi Marchi utakutana na bei nzuri.Kiangazi bei Siyo rafiki Sana.Ni Ushauri Tu.
 
Wakuu niko babati nahitaji kuanzisha shamba langu la nyanya .

Naomba kujua mbegu gani bora kwa kilimo cha biashara.
Pia vitu gani vya msingi natakiwa kuvizingatia.
Njoo kwa fide mamba babati utapata kila huduma Bora mpaka ushauri mkuu mbegu za f1 zinapatikana, karibu
 
Mkuu hongera Sana.Ila nakupa tahadhari ya Bei utakayokutana nayo unapovuna:haitakuwa rafiki.Kama utavumilia ili Mavuno yako yaingie Sokoni Mwezi Disemba Hadi Marchi utakutana na bei nzuri.Kiangazi bei Siyo rafiki Sana.Ni Ushauri Tu.
Hii ni kwa mikoa yote mkuu au
 
Epinav hawana mbegu ya kuizidi dhahabu.
 
Mkuu
Epinav hawana mbegu ya kuizidi dhahabu.
Nadhani umekalili wewe. Mimi kwenye shamba langu Kuna Imara F1, Dhahabu F1, Tanzanite F1, Bansali F1, captain f1 na Salina F1.

Lkn amini usiamini hizo zote za Epinavi zinafanya vzr kuliko dhahabu na imara na lengo lilikuwa Hilo kushindanisha maana Mimi sipendi kusimuliwa Wala hadithi nimegundua jamaa ni level nyingine labda Kwa mazao mengine ambayo sijalima mbegu Yao lkn Kwa nyanya nimenyoosha mikono.

Awali ya yote nilkuwa nalima imara na dhahabu tu ndo nilkuwa naziamini.
 

Attachments

  • IMG-20240528-WA0060.jpg
    71.4 KB · Views: 57
Asee mkuu nipe mbinu nataka nilime mbegu isiyohitaji miti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…