Kupokea Simu na Kupiga SimuWakuu Kesho nataka Kuingia Mzigoni Kupita Ofisi Moja Moja Hapa Jijini Dar Kutafuta Ajira hata ya Muda Mfupi Ili niweze kusongesha Gurudumu La Maisha. Nimeona niandike Thread Hii kupata Ushauri Ofisi Gan Nizipe kipaumbele na Nisiziache Kwa wenye Uzoefu.
Course : INFORMATION TECHNOLOGY
Natangulisha Shukran ✊
Thubutuu Sasa hivi kila kona ngumuKazi ya haraka kokote kule kunakoitwa mjini ni ULINZI. Huchukui wiki
Shukran kakaKupokea Simu na Kupiga Simu
Kuchapa barua
Kujibu Emails
Kuandaa Ripoti na Taarfa Mbalimbali
Kufanya utafiti mtandaoni
Kudraft barua
Kusoma machapisho mbalimbali na kuandika summary
Kuhudhuria vikao mbalimbali na kuchukua minutes
Kufanya Appointments
Kusimamia na kufuatilia Ratiba
Majukumu Mengine Kwa kadiri ya ujuzi wako na mahitaji ya Mteja
Kama Unaweza kufanya Kazi Remotely
Tafadhali tuma wasifu wako kwenda masokotz@yahoo.com
nimekukopia sehemu wanaitaj mtu anaejua computer n luga y kizungu
Pamoja ndugu tumia iyoo imel yaoShukran kaka
Ningempa connection bas ushaweka ugum naishia hapaThubutuu Sasa hivi kila kona ngumu
mkuu Mwita Mtu Mrefu nipatie mkuu no zang 0743544196Ningempa connection bas ushaweka ugum naishia hapa
Mkuu upo wapi hasa?mkuu Mwita Mtu Mrefu nipatie mkuu no zang 0743544196
Mkuu nipo dar elim 4m4Mkuu upo wapi hasa?
Elimu yako imeishia wapi?
Mpe braza nakumbuka mm niliombwa rushwa aiseee sina hamu G4sNingempa connection bas ushaweka ugum naishia hapa
Kama una sifa si uende KK (GARDAWORLD)?Mpe braza nakumbuka mm niliombwa rushwa aiseee sina hamu G4s
Wakuu Kesho nataka Kuingia Mzigoni Kupita Ofisi Moja Moja Hapa Jijini Dar Kutafuta Ajira hata ya Muda Mfupi Ili niweze kusongesha Gurudumu La Maisha. Nimeona niandike Thread Hii kupata Ushauri Ofisi Gan Nizipe kipaumbele na Nisiziache Kwa wenye Uzoefu.
Course: INFORMATION TECHNOLOGY
Natangulisha Shukran ✊