kingkongtz
JF-Expert Member
- Dec 28, 2019
- 1,058
- 3,613
Hi toleo jipya mkuuwakuu kwema nataka ninunue samsung note 20ultra used ila nikiwasha inaandika galaxy tu tofauti na samsung nilizozoea ukiwasha inaandika samsung na maandishi mengne mfano galaxy a20.
je hiyo ni copy au org.pia naomba mnifafanulie nawezaje kuigundua kama ni org au feki,
NB:nimewah kaaa nayo zaidi ya siku 6 iko fresh sana ,nmemwambia ntampatia jibu kesho
naombeni ushauri
Ina line 1?wakuu kwema nataka ninunue samsung note 20ultra used ila nikiwasha inaandika galaxy tu tofauti na samsung nilizozoea ukiwasha inaandika samsung na maandishi mengne mfano galaxy a20.
je hiyo ni copy au org.pia naomba mnifafanulie nawezaje kuigundua kama ni org au feki,
NB:nimewah kaaa nayo zaidi ya siku 6 iko fresh sana ,nmemwambia ntampatia jibu kesho
naombeni ushauri
shukran mkuuitakua og ila version inadepend ni ya nchi gani.
Mfano kuna mtu nilimuuzia samsung z flip 3 5g ya Marekani ilikua inaandika verison wakati zingine zinawaka moja kwa moja