Naomba ushauri wa Note 20 Ultra 5G

Naomba ushauri wa Note 20 Ultra 5G

kingkongtz

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2019
Posts
1,058
Reaction score
3,613
wakuu kwema nataka ninunue samsung note 20ultra used ila nikiwasha inaandika galaxy tu tofauti na samsung nilizozoea ukiwasha inaandika samsung na maandishi mengne mfano galaxy a20.

je hiyo ni copy au org.pia naomba mnifafanulie nawezaje kuigundua kama ni org au feki,

NB:nimewah kaaa nayo zaidi ya siku 6 iko fresh sana ,nmemwambia ntampatia jibu kesho

naombeni ushauri
 
H

Hi toleo jipya mkuu
 
itakua og ila version inadepend ni ya nchi gani.
Mfano kuna mtu nilimuuzia samsung z flip 3 5g ya Marekani ilikua inaandika verison wakati zingine zinawaka moja kwa moja
 
wakuu kwema nataka ninunue samsung note 20ultra used ila nikiwasha inaandika galaxy tu tofauti na samsung nilizozoea ukiwasha inaandika samsung na maandishi mengne mfano galaxy a20.

je hiyo ni copy au org.pia naomba mnifafanulie nawezaje kuigundua kama ni org au feki,

NB:nimewah kaaa nayo zaidi ya siku 6 iko fresh sana ,nmemwambia ntampatia jibu kesho

naombeni ushauri
Ina line 1?
Pili kama haindika sawa na jina lake ni faki
 
Fanya hivi, pata IMEI number,,, ingiza kwenye mfumo wa TCRA. Kwisha.

nimeingiza imeleta hivi
Screenshot_20241209_170500_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom