Hio gari size 17 ndio maximum tafta zile za 215/45 R17 zitakaa mwake mwake sana au hata ukipata 205/45 R17 nazo zitakaa utamu ila rimu usiweke za kishamba sasa!Habar wakuu ,nimefanikiwa kupata ka bbywalker kangu. Bahati mbaya nimekuta kina yyte size 14 sasa napend sana zile tyre kubw kubw je kwa toyota allex nawez weka maximum size ngap ili niwe comfotable barabaran.?
Hahaha eti muha, nimeagza ka ist ka wife kanafika next week ila kana rim za kishamba Wanaziita jiko[emoji23][emoji23] nataka chukua rim sport na tyre 205/55R16 kwa wataalam hio size kwa kwa ist itakaa vizuri?Hio gari size 17 ndio maximum tafta zile za 215/45 R17 zitakaa mwake mwake sana au hata ukipata 205/45 R17 nazo zitakaa utamu ila rimu usiweke za kishamba sasa...
Naam boss.
Hio gari size 17 ndio maximum tafta zile za 215/45 R17 zitakaa mwake mwake sana au hata ukipata 205/45 R17 nazo zitakaa utamu ila rimu usiweke za kishamba sasa!
Yale ma rim ya kipuuzi ya dicksound achana nayo yale ya tairi kutoka nje (offset) utaonekana kama Muha! Tia solid spokes rim ya ukweli tafta kwenye wauzaji wa rim za mtumba ukipata za kutoka Japan zile hutasikia rim kupinda au kukatika kwenye rasta!
Kuna jamaa Yangu amefunga hizo rim za kishamba Kwenye Subaru forester 2004...nilimshangaa SanaHio gari size 17 ndio maximum tafta zile za 215/45 R17 zitakaa mwake mwake sana au hata ukipata 205/45 R17 nazo zitakaa utamu ila rimu usiweke za kishamba sasa!
Yale ma rim ya kipuuzi ya dicksound achana nayo yale ya tairi kutoka nje (offset) utaonekana kama Muha! Tia solid spokes rim ya ukweli tafta kwenye wauzaji wa rim za mtumba ukipata za kutoka Japan zile hutasikia rim kupinda au kukatika kwenye rasta!
kwa Alex nilifikiri angeongeza tu size kidogo kufikia 15 Hiyo 17 nafikiri nikubwa sana kwa gari kama Allex; Sina hakika kwa size 17 tairi ya mbele itaweza kukata vizuri ILA muhimu zaidi; ukibadili tairi zikawa kubwa sana zina hasara zifuatazo;Hio gari size 17 ndio maximum tafta zile za 215/45 R17 zitakaa mwake mwake sana au hata ukipata 205/45 R17 nazo zitakaa utamu ila rimu usiweke za kishamba sasa!
Yale ma rim ya kipuuzi ya dicksound achana nayo yale ya tairi kutoka nje (offset) utaonekana kama Muha! Tia solid spoakes rim ya ukweli tafta kwenye wauzaji wa rim za mtumba ypukipata za kutoka Japan zile hutasikia rim kupinda au kukatika kwenye rasta!
Mkuu kwa mazingira ya Tz tunalazimika kuweka tyres kubwa ili gari lipande juu kidogo..
Umewahi kuona vitairi vya passo inavyokuja navyo...?
Kwa bongo lazima tu uvitoe
Hahaha eti muha, nimeagza ka ist ka wife kanafika next week ila kana rim za kishamba Wanaziita jiko[emoji23][emoji23] nataka chukua rim na tyre 205/55R16 imekaaje kwa ist itajaza vizuri?
Swali zuri anatakiwa atujibu kwa kuwa kwa uandishi huo, unatia mashaka....mkuu ww unatumia usafiri gani?
Swali zuri anatakiwa atujibu kwa kuwa kwa uandishi huo, unatia mashaka....
Hakuna aina ya gari inaitwa Ford, bali ipo kampuni ya kutengeneza magari inaitwa Ford. Kama vile Toyota, Mitsubish nkMkuu me natumia Ford
Hawato kuelewa. Ni sawa na kuwauliza hao wenye magari walio badilisha size za gurudumu. Upepo wanaweka ujazo gani? Utasikia tu weka 30 weka 35. Waulize kwann 30 au 35 huto pata jibu.Katika sayansi ya magari huruhusiwi kabisa kubadilisha size ya matairi kwani utasababisha gari kukosa stability,balance,gari kula mafuta zaidi, kuumiza engine na kadhalika.Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya performance nzima ya gari na size ya matairi yake.Ni mapoyoyo pekee ndiyo hubadilisha size za matairi ya gari.
Katika hiyo gari yako fungua mlango wa dereva, pembezoni pale unapo tokea mkanda kuna kikaratasi cheupe kimeandikwa size ya tire na rim zinazo takiwa kufungwa katika hiyo gari. Na ujazo wa upepo unaotakiwa kujazwa. Mara nyingi ujazo wa mbele haufanani na nyuma... kwakua lugha Hua ni kijapani. Tumia google lens. EnjoyHabar wakuu,
Nimefanikiwa kupata ka bbywalker kangu. Bahati mbaya nimekuta kina yyte size 14 sasa napend sana zile tyre kubw kubw je kwa Toyota Allex nawez weka maximum size ngap ili niwe comfotable barabaran?
Hakuna aina ya gari inaitwa Ford, bali ipo kampuni ya kutengeneza magari inaitwa Ford. Kama vile Toyota, Mitsubish nk
Ila ukweli uliandika kwa kudharau sana Toyota Alex kitu ambacho hakikufurahisha wasomaji wengi
Nimepata mkuu