Naomba ushauri wa Size ya Tyre kwa Toyota Allex

Naomba ushauri wa Size ya Tyre kwa Toyota Allex

muhala.jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2014
Posts
746
Reaction score
655
Habar wakuu,

Nimefanikiwa kupata ka bbywalker kangu. Bahati mbaya nimekuta kina yyte size 14 sasa napend sana zile tyre kubw kubw je kwa Toyota Allex nawez weka maximum size ngap ili niwe comfotable barabaran?
 
Habar wakuu ,nimefanikiwa kupata ka bbywalker kangu. Bahati mbaya nimekuta kina yyte size 14 sasa napend sana zile tyre kubw kubw je kwa toyota allex nawez weka maximum size ngap ili niwe comfotable barabaran.?
Hio gari size 17 ndio maximum tafta zile za 215/45 R17 zitakaa mwake mwake sana au hata ukipata 205/45 R17 nazo zitakaa utamu ila rimu usiweke za kishamba sasa!

Yale ma rim ya kipuuzi ya dicksound achana nayo yale ya tairi kutoka nje (offset) utaonekana kama Muha! Tia solid spokes rim ya ukweli tafta kwenye wauzaji wa rim za mtumba ukipata za kutoka Japan zile hutasikia rim kupinda au kukatika kwenye rasta!
 
Hio gari size 17 ndio maximum tafta zile za 215/45 R17 zitakaa mwake mwake sana au hata ukipata 205/45 R17 nazo zitakaa utamu ila rimu usiweke za kishamba sasa...
Hahaha eti muha, nimeagza ka ist ka wife kanafika next week ila kana rim za kishamba Wanaziita jiko[emoji23][emoji23] nataka chukua rim sport na tyre 205/55R16 kwa wataalam hio size kwa kwa ist itakaa vizuri?
 
Naam boss.

Kusema kweli mimi niliacha zile zile size 175/70R14.

Mi sio fan wa matairi makubwa. Ila niliona watu wana size 15.

Hapo juu Extrovert kasema unaweza weka hadi 17. Ila sasa stability na Comfortability hazitapungua kweli maama nyama inazidi kua ndogooo.
 
Hio gari size 17 ndio maximum tafta zile za 215/45 R17 zitakaa mwake mwake sana au hata ukipata 205/45 R17 nazo zitakaa utamu ila rimu usiweke za kishamba sasa!

Yale ma rim ya kipuuzi ya dicksound achana nayo yale ya tairi kutoka nje (offset) utaonekana kama Muha! Tia solid spokes rim ya ukweli tafta kwenye wauzaji wa rim za mtumba ukipata za kutoka Japan zile hutasikia rim kupinda au kukatika kwenye rasta!

Naweza pata rims kwa bei gan zote nne hizi mtumba?
 
Hio gari size 17 ndio maximum tafta zile za 215/45 R17 zitakaa mwake mwake sana au hata ukipata 205/45 R17 nazo zitakaa utamu ila rimu usiweke za kishamba sasa!

Yale ma rim ya kipuuzi ya dicksound achana nayo yale ya tairi kutoka nje (offset) utaonekana kama Muha! Tia solid spokes rim ya ukweli tafta kwenye wauzaji wa rim za mtumba ukipata za kutoka Japan zile hutasikia rim kupinda au kukatika kwenye rasta!
Kuna jamaa Yangu amefunga hizo rim za kishamba Kwenye Subaru forester 2004...nilimshangaa Sana
 
Hio gari size 17 ndio maximum tafta zile za 215/45 R17 zitakaa mwake mwake sana au hata ukipata 205/45 R17 nazo zitakaa utamu ila rimu usiweke za kishamba sasa!

Yale ma rim ya kipuuzi ya dicksound achana nayo yale ya tairi kutoka nje (offset) utaonekana kama Muha! Tia solid spoakes rim ya ukweli tafta kwenye wauzaji wa rim za mtumba ypukipata za kutoka Japan zile hutasikia rim kupinda au kukatika kwenye rasta!
kwa Alex nilifikiri angeongeza tu size kidogo kufikia 15 Hiyo 17 nafikiri nikubwa sana kwa gari kama Allex; Sina hakika kwa size 17 tairi ya mbele itaweza kukata vizuri ILA muhimu zaidi; ukibadili tairi zikawa kubwa sana zina hasara zifuatazo;

1. Center of gravity inapanda juu hivyo uwezekano wa kupinduka ukikata kona kali unaongezeka;
2. ULaji wa mafuta unaongezeka;
3. Speed meter inakuwa haisome tena kwa usahihi; Unaweza kuona unatembea kms 50, kumbe upo 56; hivyo uwe tayari kulipa faini kwenye Vibao vya 50kms hasa ukiendesha highway
4. gari inakuwa haitulii barabarani hasa ukiendesha kasi baaka ya kufikia km 70 hivi na kuendelea
5. Gari inapoteza muonekano wake wa Asili na zingine kuonekana kama inapaa
Mwisho: kuna madhara mengi kama nilivyo andika hivyo kama barabara zako nyingi ni lami huna haja ya kunyanyua
na kama barabara zako nyingi ni vumbi nyanyua kiasi sio kutoka 14 hadi 17 au pengine fanya mchakato wa gari iliyopo juu kiasi
 
Hahaha eti muha, nimeagza ka ist ka wife kanafika next week ila kana rim za kishamba Wanaziita jiko[emoji23][emoji23] nataka chukua rim na tyre 205/55R16 imekaaje kwa ist itajaza vizuri?

mkuu ww unatumia usafiri gani?
 
Katika sayansi ya magari huruhusiwi kabisa kubadilisha size ya matairi kwani utasababisha gari kukosa stability,balance,gari kula mafuta zaidi, kuumiza engine na kadhalika.Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya performance nzima ya gari na size ya matairi yake.Ni mapoyoyo pekee ndiyo hubadilisha size za matairi ya gari.
Hawato kuelewa. Ni sawa na kuwauliza hao wenye magari walio badilisha size za gurudumu. Upepo wanaweka ujazo gani? Utasikia tu weka 30 weka 35. Waulize kwann 30 au 35 huto pata jibu.
 
Habar wakuu,

Nimefanikiwa kupata ka bbywalker kangu. Bahati mbaya nimekuta kina yyte size 14 sasa napend sana zile tyre kubw kubw je kwa Toyota Allex nawez weka maximum size ngap ili niwe comfotable barabaran?
Katika hiyo gari yako fungua mlango wa dereva, pembezoni pale unapo tokea mkanda kuna kikaratasi cheupe kimeandikwa size ya tire na rim zinazo takiwa kufungwa katika hiyo gari. Na ujazo wa upepo unaotakiwa kujazwa. Mara nyingi ujazo wa mbele haufanani na nyuma... kwakua lugha Hua ni kijapani. Tumia google lens. Enjoy
 
Hakuna aina ya gari inaitwa Ford, bali ipo kampuni ya kutengeneza magari inaitwa Ford. Kama vile Toyota, Mitsubish nk
Ila ukweli uliandika kwa kudharau sana Toyota Alex kitu ambacho hakikufurahisha wasomaji wengi

Ford ranger hapo umelizika.
Unazingua ujue so kuuliza hapo nmekosea nn sasa. Acha bange dogo. Kama huwezi jibu ni bora uache naona umepaniki vitu ambavyo hutakiwi kupaniki kama mtoto wa kiume.
 
Back
Top Bottom