Naunga mkono* Hizi gari hasa zikiwa na km nyingi, bush za low control arms (lower wishbone) za mbele huwa zinaisha, na kusababisha gari kula tairi upande wa ndani. Usijaribu kufanya wheel alignment ukiona inakula tairi. Hilo sio tatizo la alignment. Tafuta hizo wishbone bushes ubadilishe. Hakikisha unaweka alama kwanza kabla ya kufungua wishbone, maana ukikosea kuzirudisha kwenye alignment tu unaharibu handling na litaboa kuendesha
Naunga mkono hoja! Hili tatizo limenitokea mwaka jana...nkaenda kufanya wheel alignment fundi akaicheki akadema haina shida ya alignment ila wishbone na bush zimechoka.Hizi gari hasa zikiwa na km nyingi, bush za low control arms (lower wishbone) za mbele huwa zinaisha, na kusababisha gari kula tairi upande wa ndani. Usijaribu kufanya wheel alignment ukiona inakula tairi. Hilo sio tatizo la alignment.
Tafuta hizo wishbone bushes ubadilishe. Hakikisha unaweka alama kwanza kabla ya kufungua wishbone, maana ukikosea kuzirudisha kwenye alignment tu unaharibu handling na litaboa kuendesha
UMEGUSA MULEMULEHizi gari hasa zikiwa na km nyingi, bush za low control arms (lower wishbone) za mbele huwa zinaisha, na kusababisha gari kula tairi upande wa ndani. Usijaribu kufanya wheel alignment ukiona inakula tairi. Hilo sio tatizo la alignment.
Tafuta hizo wishbone bushes ubadilishe. Hakikisha unaweka alama kwanza kabla ya kufungua wishbone, maana ukikosea kuzirudisha kwenye alignment tu unaharibu handling na litaboa kuendesha
Kama suspension parts mbovu halitafaaFanya wheel alignment na wheel balance
Sikumsoma.. kumbe alishafanya wheel balance na wheel alignment lakini bado tatizo lipo palepale.. Hapo sasa aje hapo garage kwako Moshi π πKama suspension parts mbovu halitafaa
Mkuu ni suala dogo sana la kubomoa pale mbele, na kukagua utajua nn cha kubadirisha,toa tairi zote wanaingia ufunguni wanabadili unchukua gari n kufanya wheel balance.Habarini wakuu,
Nina gari yangu coaster, inakula tairi upande mmoja hatari, nimejaribu kufanya wheel balance bado mambo ndio yale yale, mafundi fanya hivi mara hichi mambo ni yale yale naombeni msada wenu napata hasara sana.
Shukrani
niko tao kwa sasaSikumsoma.. kumbe alishafanya wheel balance na wheel alignment lakini bado tatizo lipo palepale.. Hapo sasa aje hapo garage kwako Moshi π π
Inafanywa wheel allignment na siyo wheel balance. Hii haifanywi kwa macho ni lazima upate sehemu yenye mashine ya kupimia na kuset. Tie rod zinatakiwa kuwa reset, ndani na nje.Habarini wakuu,
Nina gari yangu coaster, inakula tairi upande mmoja hatari, nimejaribu kufanya wheel balance bado mambo ndio yale yale, mafundi fanya hivi mara hichi mambo ni yale yale naombeni msada wenu napata hasara sana.
Shukrani