Naomba ushauri wa tatizo la gari kula tairi upande mmoja

upeo

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2013
Posts
369
Reaction score
218
Habarini wakuu,

Nina gari yangu coaster, inakula tairi upande mmoja hatari, nimejaribu kufanya wheel balance bado mambo ndio yale yale, mafundi fanya hivi mara hichi mambo ni yale yale naombeni msada wenu napata hasara sana.

Shukrani
 
Hapo panahitajika fundi alietulia sana sio wa kubahatisha, hata mashine za wheel alignment na balancing nyingine haziko vizuri sana kwahiyo jaribu kubadilisha garage...
 
Hizi gari hasa zikiwa na km nyingi, bush za low control arms (lower wishbone) za mbele huwa zinaisha, na kusababisha gari kula tairi upande wa ndani. Usijaribu kufanya wheel alignment ukiona inakula tairi. Hilo sio tatizo la alignment.

Tafuta hizo wishbone bushes ubadilishe. Hakikisha unaweka alama kwanza kabla ya kufungua wishbone, maana ukikosea kuzirudisha kwenye alignment tu unaharibu handling na litaboa kuendesha
 
* Hizi gari hasa zikiwa na km nyingi, bush za low control arms (lower wishbone) za mbele huwa zinaisha, na kusababisha gari kula tairi upande wa ndani. Usijaribu kufanya wheel alignment ukiona inakula tairi. Hilo sio tatizo la alignment. Tafuta hizo wishbone bushes ubadilishe. Hakikisha unaweka alama kwanza kabla ya kufungua wishbone, maana ukikosea kuzirudisha kwenye alignment tu unaharibu handling na litaboa kuendesha
Naunga mkono
 
Asanteni sana wakuu 'kama kuna mwenye maoni zaid asisite kutupa
 
waunwana hata mimi nnashida kama hii GARI NI SUBARU FORESTER INAKULA TAIRI KWA NDANI MSAADA TAFADHALI
 
Hizi gari hasa zikiwa na km nyingi, bush za low control arms (lower wishbone) za mbele huwa zinaisha, na kusababisha gari kula tairi upande wa ndani. Usijaribu kufanya wheel alignment ukiona inakula tairi. Hilo sio tatizo la alignment.

Tafuta hizo wishbone bushes ubadilishe. Hakikisha unaweka alama kwanza kabla ya kufungua wishbone, maana ukikosea kuzirudisha kwenye alignment tu unaharibu handling na litaboa kuendesha
Naunga mkono hoja! Hili tatizo limenitokea mwaka jana...nkaenda kufanya wheel alignment fundi akaicheki akadema haina shida ya alignment ila wishbone na bush zimechoka.

Nikabadili wishbone za mbele na bush za nyuma sijaona tena hiyo shida. Kiukweli bush za nyuma zilikua zimezeeka sana na wishbone za mbele zilikua zimelika sana.
 
Mbali na mambo mengine kumbuka kufanya wheel rotation.
Kwenye manual za magari karibu yote wanashauri ufanye kila baada ya km fulani.
Mf.
images (8).jpeg
 
Hizi gari hasa zikiwa na km nyingi, bush za low control arms (lower wishbone) za mbele huwa zinaisha, na kusababisha gari kula tairi upande wa ndani. Usijaribu kufanya wheel alignment ukiona inakula tairi. Hilo sio tatizo la alignment.

Tafuta hizo wishbone bushes ubadilishe. Hakikisha unaweka alama kwanza kabla ya kufungua wishbone, maana ukikosea kuzirudisha kwenye alignment tu unaharibu handling na litaboa kuendesha
UMEGUSA MULEMULE
 
Tatizo ni suspension setting tu, nenda kwa fundi akukagulie bushes za wishbone, stabilizer bushes, link pamoja na ball joints.

Ukishapaweka sawa huko ndio uende kwenye alignment setting. Suluhu ya tatizo ndio iko hapo.
 
Habarini wakuu,

Nina gari yangu coaster, inakula tairi upande mmoja hatari, nimejaribu kufanya wheel balance bado mambo ndio yale yale, mafundi fanya hivi mara hichi mambo ni yale yale naombeni msada wenu napata hasara sana.

Shukrani
Mkuu ni suala dogo sana la kubomoa pale mbele, na kukagua utajua nn cha kubadirisha,toa tairi zote wanaingia ufunguni wanabadili unchukua gari n kufanya wheel balance.
 
Habarini wakuu,

Nina gari yangu coaster, inakula tairi upande mmoja hatari, nimejaribu kufanya wheel balance bado mambo ndio yale yale, mafundi fanya hivi mara hichi mambo ni yale yale naombeni msada wenu napata hasara sana.

Shukrani
Inafanywa wheel allignment na siyo wheel balance. Hii haifanywi kwa macho ni lazima upate sehemu yenye mashine ya kupimia na kuset. Tie rod zinatakiwa kuwa reset, ndani na nje.
 
Back
Top Bottom