greater than
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,653
- 3,060
Kuhusu mfinyanzi ,pitieni...
www.jamiiforums.com
POINTS 10 ZA UJENZI : UDONGO MFINYANZI NA UJENZI
MAKALA YA 6 Karibuni tena katika Makala ya ujenzi. Leo tujifunze machache juu ya Udongo wa Mfinyanzi na Uhusiano wake katika Ujenzi 1.Mfinyanzi ni moja kati aina kuu tatu za udongo. -sifa aa Mfinyanzi Una Tanuka ukiwa na maji na kusinyaa ukikauka Una tunza maji(siyo rahisi maji kupenya) Una...